@godyshafeni: -BIBI analilia HESHIMA.. UPENDO kwa mjukuu wake😢 -NDOA haina shida na hiyo DEGREE YAKO haina shida na hizo MALI zako🫴......na ndio maana bibi ameweka pembeni nafasi zenu ili awambie vitu ambavyo mkivizingatia NDOA YENU itakua imara. @aunt_boss HESHIMA..UPENDO..ISHI VIZURI NA WATU..USIJIONE BORA KULIKO WENGINE na Mungu atakubariki na atakusaidia kwenye NDOA YAKO. ....saa ya wokovu ni sasa..... ✝️IMANI BILA MATENDO IMEKUFA✝️ #viralvideo #viraltrending #kenyantiktok🇰🇪

THE TRUTH OF THE GOSPEL✝️
THE TRUTH OF THE GOSPEL✝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 04:08:48 GMT
65159
4814
284
385

Music

Download

Comments

dianaahia5
Dee🌹 :
Nashukuru mungu kwaajili ya bibi huyu ❤️
2026-06-30 10:46:51
138
ruu6115
Ruu :
Najiunganisha na hay maombi ya bibi l😭🙏
2026-06-30 10:34:56
60
harrytz1
Harry Tz :
this kind of blessing is priceless 🙏🤲. AMEN 🙏
2026-06-30 14:50:23
1
user5033346223385
Gee~wara🥰 :
🥺😔najiambatanisha na hizi baraka😭🙏
2026-06-30 13:34:55
45
user3105261405114
BUSOKELO GIRL :
jaman adi nimejisikia kulia 😭😭😭
2026-06-30 11:01:40
41
w.w.w.tiktok.tz.mary
marience :
Bibi zetu wakikinga hawa mwenyez Mungu awatunze wamebarikiwa hekima sana
2026-06-30 05:37:51
45
mungumwemawakatiwote
Gigy beauty :
mimi sasahivi sina bibi hata mmoja 😭 sijui nani ataniambia hayo mambi siku ikifika😭😭😭
2026-06-30 12:39:38
16
tundumbe23
🦋🦋 MAKETE og🦋🌹🌹 :
ila wakinga sisi🥺
2026-06-30 05:30:58
34
the.mwinullas4
the mwinulla's :
hii ndoa haitavunjika kabsa ❤️
2026-06-30 12:16:45
13
newvisionpro4
very brand :
♥️♥️
2026-06-30 15:08:27
1
nehemiabitababaje
NEHEMIA BITABABAJE :
funda bibi funda wanawake wareo hawana hayo unayo sema barikiwa bibi
2026-06-30 11:14:32
7
beatricemwageni
Bm :
wallah huyu bibi yangu
2026-06-30 15:48:01
3
gwantwatz
madam G😊 :
amen and amen
2026-06-30 11:41:03
1
latifahsalumabas
Latifah_unique :
Hata mim nimeondoka na kitu🙏🏾🙏🏾
2026-06-30 13:52:25
1
shafii.i67
True love never die :
Asante sana bibi 💪
2026-06-30 15:26:09
2
ikaeli_shoo
Real iker :
Adi melia😭😭😭
2026-06-30 14:50:28
1
jacklinekyando20
jacklinekyando308 :
Bibi ni mmoja tuu nakupenda sana mama angu wewe
2026-06-30 07:17:33
5
user3715886116939
pendo :
bibi anguu
2026-06-30 11:44:27
1
aishahassan3059
Aisha Hassan :
bibi yangu kabisa
2026-06-30 12:46:46
1
mamierejinah
Marry’s Store :
Amen nmepokea haya Maombi🥺🙏❤️🫂
2026-06-30 14:54:07
1
belinafred
belinaFred :
Namuona bibi yangu ❤️🥺🥺
2026-06-30 14:28:07
1
oficiall.dee
oficiall dee🦋🦋💫💦 :
10/10
2026-06-30 10:56:34
1
khagfendrick
empress khag🦋 :
gile umesikiaaa
2026-06-30 14:35:39
1
To see more videos from user @godyshafeni, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About