@irenefalifali: Baba katika jina la Yesu Kristo Asante kwa neema yako na nguvu zako Baba ninaomba unisamehe makosa yangu yote niliyotenda mbele zako Ninaomba unijibu maombi yangu katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth maana imeandikwa 📖Zaburi 128:2 "Taabu ya mikono yako hakika utaila; Utakuwa heri, na kwako kwema. Baba ninakusihi Bariki kazi ya mikono yangu Bariki shamba langu likanipe mazao Bwana Yesu Kila kazi ya mikono yangu ikanipe matunda Nikaifurahie na kuinuka kiuchumi katika jina la Yesu Kristo maana imeandikwa 📖Warumi 8:28 "Nasi twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake. Bwana Yesu Kusudi la kupata kazi nzuri uliloliweka ndani yangi likatimie katika jina la Kusudi la kuinuka kiuchumi likatimie katika jina la Yesu Kusudi la kufanikiwa likatimie katika jina la Yesu Kristo Ninaamuru Kila nguvu za giza inayozuia matunda ya kazi yangu ninaisambaratisha kwa jina la Yesu Kila roho za giza zinazonifatilia ninaziangusha kwa jina la Yesu Kristo Baba ninakuomba maana imeandikwa 📖Kutoka 14:14 "BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Pigana kila vita iliyoinuliwa kazini kwangu Pigana kila vita iliyoinuliwa kwenye biashara yangu Pigana kila vita iliyoinuliwa kuzuia uchumi wangu kuongezeka katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth Baba katika jina la Yesu Ninaamuru Katikati ya matajiri jina langu litajwe Katikati ya watu wanaojua kufanya kazi ofisini jina langu litajwe Katikati ya watu walioinuliwa jina langu litajwe Katikati ya watu wenye hekima na utajiri jina langu litajwe kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai Ninaamuru Nuru yako ing'ae kwenye uso wangu Kibali chako kinifunike na kunitangulia mbele Uchumi wangu hautaangushwa tena katika jina la Yesu Kristo Baba asante kwa kunipa neema na nguvu ya kuomba na kulisoma neno lako katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth mwana wa Mungu alie hai #creatorsearchinsights

Irene falifali✝️
Irene falifali✝️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 04:31:17 GMT
37557
2629
121
145

Music

Download

Comments

selotto7
selotto :
napoekea baraka za Ibrahim na isaka na yakobo Amina
2026-06-30 06:38:14
9
riacosmetics01
Ria Cosmetics :
Ameeen 🙏🏾🥰
2026-07-01 15:20:13
3
nemes_.tarimo
Nemes_ Tarimo :
I receive in the name of Jesus
2026-07-01 13:53:05
3
ms_jacqy
jayybeingjayy🥰 :
Ameen🙏
2026-07-01 09:40:57
3
jennyprosper51
Jenny prosper :
Ameni
2026-07-01 10:29:08
3
user2490901048261
Sam on :
Amina🙏
2026-07-01 13:46:31
3
strawrbey_ie300
W.h.i.n.n.i.e❤ :
Ameni
2026-07-01 10:48:23
4
ellyonceofficial
ellyonceofficial :
Amen🙏
2026-07-01 02:39:32
1
suzyan7
Suzy :
ameen
2026-07-01 12:52:40
3
newton.kimaro
Byser KITOSI 4️⃣👊 :
Amina napokea. 🙏
2026-07-01 08:42:55
2
grace.burto
Queen of my own empire 💵✅ :
Amen napkea
2026-06-30 06:36:14
2
bss2412
MR J :
Amina
2026-07-01 08:38:05
2
mrembowakisukuma
mrembo Wakisukuma :
amen
2026-07-01 13:49:05
1
im_debrah
it's me debrah🔏🎀 :
Amen
2026-07-01 05:04:31
1
mercyket1
Ketrina :
Amen
2026-06-30 10:37:50
2
user400351965
Isaac :
Amen Amen
2026-07-01 07:22:28
1
kaaya.888
Kaaya 88:88 :
Amen
2026-07-01 02:38:14
1
_cipher_elyne
@_Cipher_E :
Big AMEN 🙏
2026-07-01 05:58:27
1
irenejohn00
Irene John :
Amina 🙏
2026-06-30 11:42:05
1
elinuru.nimkaza
Elinuru Nimkaza :
Amina
2026-06-30 08:11:42
1
charles.daughter6
Charles daughter :
Ameen
2026-06-30 06:39:40
1
nicah3005
🩶😎 :
Amen
2026-06-30 19:37:37
1
user2392044938075
@offical recho :
Amen
2026-06-30 09:07:38
1
gloric7
gloric7 :
Amen napokea
2026-06-30 22:24:47
3
papaa.ello.elly
Papaa ello elly :
na po kea baraka hii kw jila la Yesu
2026-07-01 05:41:25
3
To see more videos from user @irenefalifali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About