@mcparon_: Je, unasumbuliwa na maumivu ya meno, harufu mbaya ya mdomo au unahitaji kusafisha meno yako kitaalamu? Karibu @UTUKUFU DENTAL CLINIC mahali ambapo afya yako ya kinywa ni kipaumbele chetu. Tunatoa huduma bora, salama na za kisasa kwa bei rafiki. Tunatengeneza tabasamu, tunajenga kujiamini. 🦷💙 Tunapatikana Nzega Mjini. Call +255 755 702 593 #UtukufuDentalClinic #AfyaYaMeno #DentalCare #SmileWithConfidence #TabasamuBora @21blandly_1