@osteolife_tz: UNASUMBULIWA NA TATIZO LA BAWASIRI? Leo nakupa siri ya Kupona! Usipuuzie dalili... Msikilize mtaalamu wa tiba mbadala akieleza kwa kina kuhusu tatizo hili, sababu zake, na mwongozo wa hatua unazoweza kufuata ili kupata nafuu. Tazama video hadi mwisho na uzingatie maelekezo yaliyotolewa. #herbs #tiba #Lifestyle #health