blaz una ongea ukwel chali wangu mlio elew gonga like
2026-06-30 19:19:30
84
msafi og :
hainamana kusoma mm niliishia la5 skutaka mengi namshukulu mungu nimejiajir serekar ya tz hamnakitu
2026-07-02 20:32:16
8
Kabao Family :
mungu yup atakumulikia kwingine broo amin
2026-06-30 20:03:46
19
Dist stones :
Lengo kuu la Elimu sio kuajiriwa ni kufuta ujinga na kujitegemea Mimi sijaajiruwa ila hyo elimu tukiitumia vzr Ina manufaa kuliko walioajiriwa
Acha ujinga pambana
2026-07-24 09:53:47
7
2/7/2026💔🕊️daddy :
For future use😭😭let me save it
2026-06-30 18:38:27
14
KõndĘ ~ KĩD ✨🤍 :
Kwa HESHIMA 10/10🔥✅🌍
2026-06-30 11:03:04
17
deusyusuph537 :
tunamachule inyewe
2026-07-01 13:21:26
8
Sam oney :
sahh kak
2026-08-14 16:24:59
0
Edward Harri :
kweli kaka hv mm nimesoma wazaz wamemaliza kila kitu ulitegemea mtaji napata wapi jmn huku wazaz wananitegemea
2026-08-19 08:16:40
4
Abiclassic :
daaah nikwel kak inaumaaah😭😭😭
2026-06-30 17:02:10
5
Ally mitamba :
Brother umetisha sana Mimi Nina diploma na bachelor Ila mpaka Leo kaka nauza duka
2026-07-02 20:43:43
5
munthinibhona :
point bro nakubali sana wena wena
2026-06-30 21:11:40
6
Baino :
nilikuwa nikijiandaa sasa hivi naacha
2026-06-30 14:17:16
6
MRANGI MBISHI TZ NZIMA🇹🇿🪖🦅 :
mama etu mama Samia doctor wetu muangalie huyu awe haya mfanya usafi wa ikulu tu bhas 🙏
2026-06-30 13:53:23
8
user521746781528 :
usijikatie tamaa mzazi
2026-07-25 10:32:09
1
Danny's :
hakika kaka upo vzr tuna maumivu.
2026-07-24 20:42:22
3
VANO DE TOXIC ☠️☠️☠️ :
basiiiiiiii tena keshooo shule siendiiii🥺🥺
2026-07-11 06:39:10
3
Sir felix finance manager :
😰😰😰,,,I needed this
2026-07-03 09:49:42
1
INF JOSEPH ISIAKA SSK :
inauma sana, 5 ans à l'université mais je suis au chômage 🥹
2026-07-03 20:54:10
0
mkemi :
daah kweli sio mchongo
2026-08-04 18:31:36
3
Judith Mhando :
inauma sana kweli
2026-07-01 04:59:30
6
To see more videos from user @chad_elite_, please go to the Tikwm
homepage.