@ally.kaje6: #zanzibar #tanzaniatiktok🇹🇿 #trending #congolaise🇨🇩

Ally Kaje
Ally Kaje
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 06:19:57 GMT
40588
1422
55
180

Music

Download

Comments

leytrue7
𝐥𝐞𝐲𝐭𝐫𝐮𝐞🥀 :
𝐛𝐚𝐡𝐚𝐫 𝐢𝐧𝐚𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐣𝐦𝐧 𝐦𝐡𝐡𝐡
2026-07-26 20:16:17
1
as923520
as :
ila side unajua kujiamlia mwanetu
2026-07-27 10:21:15
0
uyee912
10 uyee :
da polen
2026-07-24 18:52:42
1
22daudi
Daudi makoba :
Dunia inamengii jaman
2026-07-17 21:18:14
3
surelady20202024
Official SureLady 2020 :
maskini heartbreaks 💔 zipo nyingi mpaka kuna muda unawaza mbali sana😫 zinaumiza unaweza kufanya chochote kwa muda wowote
2026-07-08 11:08:40
3
yasri.hassan7
Yasri Hassan :
ilikuwa trh ngap?
2026-07-01 12:51:31
3
usergloriaofficial31
Suzypoloto :
Ilikuwaje mpk ajitupe jmn
2026-07-15 01:40:55
0
kondo.layzer
kondo layzer :
hivi kwann matukio hayo yanatokea sana kwann
2026-07-11 14:23:00
0
saidamour780
AMOUR SALIM :
daah hatari sana
2026-07-02 14:24:38
0
happy80944
happy :
itakuwa mapenzi Yana mchanganya
2026-07-02 14:13:02
0
ashakirohosafitz
asha kiroho safi tz :
mungu awabarik sana
2026-07-01 20:21:17
0
dasophy3
Da💰Sophy💕 :
akitoka mumtie bakora kwanza
2026-07-01 04:09:42
13
chimaa7869751420565
chimaa :
kablaaa sijaongea ovyoo nataka kujua ni mgonjwaa au nikujiamulia mambo
2026-07-01 02:56:07
5
chad_mbugi
chad_mbugi :
Kajitupa halafu kakamatia boya, Hana nia huyoooo 🥺
2026-06-30 21:08:04
7
kidawasalon
KIDAWA SALON 💇‍♀️ :
jmn mim ata nikipita pemben kwny mto yaani kuna saut kichwani naisikia jilushe majin🙌😭
2026-07-07 11:05:10
1
mr.macha1
Mr macha,, :
kuna comment inasema akitoka mumtie bakora 😁😁😁
2026-07-03 06:41:48
3
nurdinstar120
ŇŬŔĎÌŃÍ MSOUTH🩵 :
arudii maisha yake
2026-07-01 08:23:44
3
user3005673143393
mom🦋muck💕 :
amejitupa au bahat mbaya
2026-06-30 16:16:34
2
amoskaturikochama
MAIKI YA TK TOK MKL D 🇹🇿 1 :
@ uyu wa viboko
2026-07-03 04:20:37
0
zuwenahamisi728
zuuh cute :
hivi ni kweli i asababishwa na nini au ndo majini yanungwi yamemfanya ajitose kene majiii
2026-07-14 13:50:43
0
user2236801530788
Pau brad hairstyle :
kakumbwa na upepo na mbaya🤔🤔🤔
2026-07-24 22:05:24
0
ummumukhtaar
ummu Mukhtaar :
kwaio apo meli imesimama?
2026-07-03 06:51:51
0
boy_wangu
Dee❤️ :
Mpigeni uyooo Ana adabu
2026-07-22 11:35:33
0
phiphi09232
PhiPhi :
kweri kazini kuna kazi
2026-06-30 12:57:30
0
To see more videos from user @ally.kaje6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About