@ecoafricana_poultry_farm: Boresha maandalizi ya chakula cha mifugo kwa kutumia Chopper kubwa yenye uwezo wa kukata majani na kuchanganya chakula kwa wakati mmoja. ✅ Hukata majani mabichi na makavu kwa haraka ✅ Huchanganya pumba, majani na virutubisho kwa usawa ✅ Huongeza ulaji wa chakula kwa mifugo ✅ Huokoa muda na gharama za wafanyakazi ✅ Imara, hudumu kwa muda mrefu na rahisi kutumia ✅ Inafaa kwa Kuku , Nguruwe, Njiwa na.k Mashine za aina hii hutengenezwa kwa uwezo mkubwa wa kukata na kuchanganya malisho kwa ufanisi ili kuboresha lishe ya mifugo. 📍 Tunapatikana Dar es Salaam, Tegeta Nyaishozi 📞 Wasiliana nasi 0773494996 0687990118 #fypシ゚viralシfypシ゚ #fyp #mashinezakilimo #ecoafricana

ECO-AFRICANA
ECO-AFRICANA
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 07:45:35 GMT
372
5
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ecoafricana_poultry_farm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About