Gonga like kwa wale wanao mpenda magufuli mpaka sana na kumkumbuka
2026-07-10 13:29:38
17
arbkelv45 :
mzee alipitia mengi magum aisee MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPOBI
2026-06-30 08:49:59
20
Mtumishi Odimary :
kipindi hicho tulikuwa na kiongozi😭😭
2026-06-30 14:02:59
10
Steve Brand :
kudadeq saivi nadhan yanayoendelea ni pro and pro tena
2026-07-13 21:20:12
3
🕋 NOTIFICATION :
Kwa kifupi sana Yaan kwa mwaka ni Tani 171 ×10 ni 1710 tani ukizidisha kwa thaman fany kama Gram Moja ni sawa na 200,000 usilete tamaa ya 250,000 au zaidi ww fanya 200,000 zidisha mara milioni 1.7 ambayo ndio kilo 170 piga mara Miaka 10 utajua ni sh ngap wamekomba huu ni ufwala tungetakiwa tusiwe tunakopa kopa kama vichaa Mwenyezi Mungu atuongoze kila jambo Lina mwisho😭😭😭😭
2026-08-08 12:18:52
3
abrahamsimon331 :
Mwamba alikuwa noma sana
2026-08-07 09:13:14
2
lecture,,🇹🇿 :
Duuuh,, Kwaheshimaa,,THE LEGEND IS NEVER DIE,, pumzikaa kwa amanii mzee wetuu,, umetuonexhaa nn maana yauwongozii ,,
2026-07-01 22:19:13
3
Yusuph Robarth :
power magufuri
2026-07-22 19:57:39
1
Sarah machungwa :
Ni vigumu sana kuamini hakika😪😪😪
2026-06-30 09:56:45
9
Husein Saidi :
ndio
2026-07-23 23:38:29
1
Mapunda.Jalome. :
ila magu tunakukumbuka sanaaa ila daaa
2026-08-01 07:03:33
1
Mayaya Panch10 :
upumzike salma
2026-08-05 07:45:16
1
Luga Mobile :
LEGEND
2026-06-30 09:31:40
4
Rhoda Said :
pumzika Kwa aman baba
2026-06-30 18:15:54
6
Rashid Liomeka :
vjana tuna putia magumu sana 🥺
2026-08-02 19:11:59
1
Ezekiel juma.k :
daah nimesikiliza. mda sana
2026-06-30 10:00:23
4
Mwita Magesa :
kweli mzee ulikua makini sana hua najiuliza?. ntakuja kumpata RAIS hapa tz kama wewe kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-07-23 17:45:48
1
samlion :
watu wametulia, wanasikiliza kwa umakini mkubwa. leo hii wameyasahau haya yote🥺🥺
2026-07-10 15:30:49
1
James ndibato :
very genius prezoo ever
2026-06-30 20:09:53
1
excess staff :
Alikuwa mwamba sana magufuli ni mzalendo sana nchi hii angepewa zaid ya miaka 10 tungekuwa mbali sana na alitufungua macho sana wa tanzania
2026-07-10 13:28:54
2
Lenard 76 :
hii inchi inastaili raisi kama huyu kiuchumi zaidi
2026-07-14 08:34:33
0
Majid Issa :
Mpambe wa magufuli niliye muelewa sana uyu apa😭😭😭😭😭😭
2026-06-30 21:47:39
0
To see more videos from user @jamalmotivator, please go to the Tikwm
homepage.