MUNGU anakukumbushaa kuwa kifoo kipoo hvyoo 2achee kujisahau
2026-06-30 16:01:28
649
itswitney :
Me kuna siku hadi nikakata tamaa usingizini nikajua siamki tena 😭😁
2026-07-01 07:48:01
86
Msoumari :
upwiru
2026-06-30 19:05:17
3
bisco_supernatural :
sleep paralysis. Hutokea pindi unapokuwa kwenye hali inayoitwa REM Period ambapo hutokea kwamba akili inakuwa active lakini mwili unakataa kurespond.......shortly.
2026-06-30 19:19:46
234
Mayem2005 :
Isha nitokea mara nyingi sana hy Mungu nilinde mm kijana wako na anae soma comment hii
2026-06-30 20:04:57
221
Nãi ça :
mimi ikitokeaga ivo kwanza naacha wenge na lilax navuta pumzi nakubaliana na hio hali naanza kusali namuomba mungu hali yenyew inaondka taratibu
2026-07-01 08:11:42
38
Elly Mr low price :
duuuh me nikadhani kwamba ni mimi tuu inanitokeaga kumbe hata nyie😳
2026-07-01 03:40:21
20
AMOSIMBA :
fumbo hilo mungu katuficha maana yake kirohoo nikwamba siku ambayo mungu hatatenganishq nafsi na rohoo hali kama hiyo hutokea kwamba mwili hautakua na nguvu tena lkn nafsi hitaendelea kuishi.
2026-07-01 11:14:46
12
babeagy ♍️ :
Jinamizi
2026-07-01 08:43:01
7
0.1%💔🆗 :
Na hasa ukilala chali🥺🥺 ndo kabisaaa
2026-06-30 21:03:02
31
calvinw252 :
hapa inakuwa akili imeamka mwili bado umelala
2026-06-30 17:51:20
40
Mary Deogratius :
Tena unakuwa kama unakosa had pumz
2026-07-01 07:30:35
12
VICENT Mussa VICENT Mussa vi :
mm nikajua nipo pekeangu kumbe tupo wengi ivo
2026-06-30 18:23:24
56
rakeshiplatnumz :
sleeping palalaized😂
2026-07-01 13:13:42
0
Yasinta paul :
it's sleep paralysis
2026-06-30 21:25:51
1
soft Ny💓 :
hiyo hali inaletwa na hfgfffcghjbvcxzsrttyuuikjbcxssdtyuiikhvvddddrt ndo chanzo
2026-07-01 09:50:51
0
Romy-55 :
inaitwq over sleeping hapo vipo
2026-06-30 22:45:09
1
rebbeka sumbui :
duu kumbe yupo weng jaman mungu tusaidie
2026-06-30 19:48:08
8
MR, POWER :
ukisikia Jinamizi ndo hilo sas
2026-06-30 17:14:55
131
Dallah nayo :
Me mala nyingi sana mpk kuna mda nastuka kumuomba mungu msamaha
2026-06-30 19:25:17
45
meech45 :
iyo inasababishwa na irjdehiznzbskabehisbzuska zvdurn
2026-07-01 06:27:22
5
gracious :
mm nilijua mm tu kumbe ni wengi kuna siku mm nilishindwa kabisa kuamka nikawa naomba mungu anilitee hata mtu anitikise mungu alinisaidia inatesa
2026-07-01 03:43:29
6
user5222919086975 :
Hiyo ni hali ya kawaida ki sayansi inaitwa sleep paralysis ‘ kupooza usingizini’
2026-07-01 06:40:26
8
Leilah❤️💕 :
yaaan unakuwa unaskia sauti kila kitu kinachoendelea lkn ndoivo huwez kufanya chochote hata kuchezesha kidole nakuwa nataman kuamka lkn siwezi to be honestly inanitokea mala nyingii haswa mchana🥺🥺
2026-06-30 22:21:45
22
To see more videos from user @tommylaseko, please go to the Tikwm
homepage.