@houseofbudgettz: Mnyonge Mnyongeni, Haki Mpeni. Hii Lunch Box Inastahili Sifa! 🔥 Kwa nini utumie pesa nyingi kununua chakula kila siku wakati unaweza kubeba chakula chako cha nyumbani na kukifurahia kikiwa cha moto? Electric Lunch Box inakusaidia kuokoa hela, kula chakula salama na kitamu, na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima kila mwezi. Akiba inaanza na maamuzi madogo. Nunua mara moja, faidika kila siku, na uone tofauti kwenye matumizi yako ya kila mwezi! 🍱⚡💰 #tiktoktanzania🇹🇿 #foryoupage❤️❤️ #fypシ゚ #creatorsearchinsights