@highlandsfmtanzania: Ulaya inakabiliwa na wimbi la joto kali la kihistoria tangu 21, huku baadhi ya nchi zikirekodi zaidi ya 40°C, ikiwemo Ujerumani (41.7°C), Poland (40.5°C) na Czechia (41.1°C). Inaelezwa Chanzo kikuu cha hali hiyo ni mchanganyiko wa joto la kawaida la msimu wa kiangazi Ulaya na ongezeko la gesi chafuzi, ambalo limeongeza kasi na ukubwa wa mawimbi ya joto., na limekuwa juu kwa nyuzi 15–18°C kuliko kawaida katika maeneo mengine. Tayari zaidi ya watu 1,300 wamefariki kutokana na joto. Barabara na reli zinaharibika, barafu kwenye milima ya Uswisi inayeyuka kwa kasi, na baadhi ya mitambo ya nyuklia nchini Ufaransa imelazimika kusimamisha shughuli kwa muda. Tukio hili limeongeza wasiwasi kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi na kuongezeka kwa matukio ya hali mbaya ya hewa. (Abc News) #highlandsfm #fifaworldcup2026 #nasisitumo

HighlandsFmTanzania
HighlandsFmTanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 08:42:24 GMT
5003
119
1
9

Music

Download

Comments

luuconrad01
Luu conrad🐶🦋 :
🔥🥵
2026-06-30 13:03:43
0
To see more videos from user @highlandsfmtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About