@mtoto_wa_maria: ⚪ SALA YA MTAKATIFU INYASI ⚪ Roho ya Kristo nitakase, Mwili wa Kristo uniokoe, Damu ya Kristo inifurahishe, Maji ya ubavu wake Kristo yanioshe, Mateso yake Kristo nguvu yanizidishie, Ee Yesu mwema unisikilize, Katika madonda yako unifiche, Usikubali nitengwe nawe, Na adui muovu unikinge, Saa ya kufa kwangu uniite, Uniamuru kwako nije, Pamoja na watakatifu wako nikutukuze, Milele na milele Amina. #furahatemba #eucharist #catholicmass #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿
Furaha Temba
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 09:34:20 GMT
Music
Download
Comments
its_gard_ :
Mt Inyasi, utuombee🙏
2026-06-30 09:48:30
40
Olivier07 ❣️❣️ :
hii Sala inasaliwa wakati gan???
2026-07-01 19:53:01
9
karia girl✨💋❤ :
amina
2026-06-30 09:59:56
7
2236 :
amina mtakatifu inyasi utuombe..
2026-08-06 04:38:04
2
thom mayunga :
Amen 🙏 naikawe mungu wangu
2026-07-02 16:11:18
2
user5849046812448 :
Amen 🙏❤️🙏🙏
2026-08-02 21:24:46
1
mwanaid said :
hii ndio sala ya mtakatifu Inyasi wakrist wenzang👏👏
2026-07-25 10:00:35
2
Redemta Deogratias :
Amina
2026-06-30 17:08:52
1
Ester :
Amen Amen Amen
2026-07-01 14:33:33
1
sagefrank785 :
AMIINA
2026-07-01 05:04:54
1
Jimmy Junior :
Tumsifu Yasu kristo Amen
2026-06-30 19:19:38
7
Mimi ndimi Njia ukweli na uzima
2026-07-04 11:31:52
1
William okuo ak07 Okuo :
2026-07-01 07:51:04
1
Ushindi lipothe :
tangu sasa na myaka mile na milele amene
2026-07-09 08:27:56
1
penny :
nakupenda
2026-07-02 05:08:02
1
Agrovet kisese :
Mtakatifu Inyasi utuombee🙏🙏
2026-07-02 07:32:03
1
user37598272775394zawad :
mlele na mlele Amina
2026-07-03 09:24:15
1
Bob Rich Tz :
ameeen
2026-08-21 06:47:33
0
Jimmy :
amen
2026-08-21 18:36:29
0
eva john :
Amina
2026-08-21 11:18:54
0
Ms only❤️❤️ :
amna
2026-08-21 12:37:53
0
zombie star :
amen amen 🙏🙏
2026-08-17 11:22:22
1
blandinechakupewa :
Amen
2026-07-03 03:43:56
0
To see more videos from user @mtoto_wa_maria, please go to the Tikwm
homepage.