@ablenty_sadock: Nimepata neema ya kuwepo kwenye moja ya mazoezi ya mwisho mwisho🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Moja ya watumishi wa Mungu wenye neema kubwa sana ya Mungu ni @Eliya Mwantondo mimi nikusihi sana rafiki yangu kama unamfaham ama umeshawahi hudumiwa nae basi tuungane nae mara hii tena kama bado basi Jumatatu ijayo pale @vcctmbezibeach njoo na matarajio ya kukutana na Yesu mwenyewe na hakika utahudumiwa. Ni bureee kabisaa Mtu wa Mungu usiache kuja tena na rafiki yako🙏🏾

Ablenty Sadock
Ablenty Sadock
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 10:18:28 GMT
3406
422
7
6

Music

Download

Comments

kepha6084
Kepha :
ni fire
2026-06-30 20:00:08
0
ministerevelly
official_Evelly_Petro 🎙️ :
🔥🔥🔥🙌
2026-06-30 18:12:02
0
madam.rey140
Madam rey14 :
🥰🥰👏👏
2026-06-30 17:12:50
0
priscy_official1
priscy_official :
❤️❤️
2026-06-30 15:52:00
0
flyinggel
Ms_ceci❤️ :
🥰🥰🥰
2026-06-30 11:21:53
0
mandlindetz5
enosmandilindi :
🔥🔥🔥
2026-06-30 11:13:11
0
mcablenty
Mc Ablenty :
🔥🔥🔥🔥
2026-06-30 19:52:54
0
To see more videos from user @ablenty_sadock, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About