@shebbyalawi8: MKASA KAMILI UPO YOUTUBE YA PERFECT BONGO TV #foryoupage #creatorsearchinsight #foryou #viralvideo #fyp

ShebbyAlawi
ShebbyAlawi
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 10:43:51 GMT
142008
7157
229
134

Music

Download

Comments

user4460085188065golden
mogella golden boy :
dah barotel ndo kawa ivi 😭😭😭😭nimecheza tulichukuliwa na simba mwaka 2012 tulikuwa timu ya vijana u17 chini ya makocha mzee king kibadeni, selemani matola , mwaka mwarusi, kasongo athumani, meneja wakati ule Patrick rwemamu ambae sasa ivi ndio meneeja wa timu kubwa,! yeye namba tisa mimi namba kumi, uyu akaondoka akaenda azam yeye na Joseph kimwaga ,akacheza stend united dah dunia hiii😭😭😭umekutwa na nini mwamba? bro naomba namba zake kama utasoma hii comment yangu! Naitwa mogella feruzi, walizoea kuniita golden boy
2026-06-30 20:43:21
86
user3988697243767
zahra :
Mwenyez Mungu atakupa zaidi ya Kila ulichokipoteza inshaallah
2026-06-30 10:52:20
90
ahmedkibishow5
AHMED KIBISHOW😛😛 :
wallah nimelia
2026-06-30 20:28:09
2
mwantum20
Tum bey :
Amelia Kwa maumivu sana roho imeniuma pole mungu atakupambania kaka
2026-06-30 19:41:09
26
queenkessy03
queen kessy 🧚💕💕 :
kama hana mpenzi namuombeni huyu 💔anayo upendo wa kweli
2026-06-30 16:27:13
28
ben_lee_bl
benleebl :
huyu kibaka
2026-06-30 20:28:56
6
prince.aido12
prince Aido12 :
na hii pua mi nataka story yake 🤔🤔
2026-06-30 19:45:29
14
magicknowledge2
GREAT SACRIFICE :
ila unafungu lako kwa allah 🙏
2026-06-30 13:17:06
39
rizmichakato4life
@MICHAKATO FOR LIFE 📱KIGAMBON :
oyaaaa HAYO maumivu anayopitia huyu jamaaa omba sana yakukute😭😭😭 mungu mwingi rehma sana..sote tunakutegemea wewe
2026-06-30 20:09:16
18
beckaburton5
Burton :
dah! uyu mi mwanangu niliishi nae kinondoni Brazil pale,ni bonge moja la player,East Africa kwel dharau km make 🥺
2026-07-01 08:57:00
6
user9069668842945
user9069668842945 :
pole sana.hongera kwakumuuguza bi mkubwa .Mungu ameona upendo wako
2026-06-30 11:49:26
23
dave.asap3
Dave Asap :
Balotelli Tandika Mabatini Fundi sana mzee
2026-06-30 17:57:16
21
ndochalakihindi1
Malcom X wa pili :
Haya maumivu hayavumiliki kabisa
2026-06-30 12:54:47
13
nkaina.jr
Nkaina jr :
sometimes watu wanakua ni maskini so kwamba hawakutafuta but ni mazingira ya maisha tuko tunapitia kila siku bro anaongea kirahisi ila ndani ya hayo maneno bro 💔💔💔💔💔💔💔 we acha yote kabs apo kwenye nilipoacha kazi .....💔💔💔 😭🙏
2026-06-30 21:35:29
11
gao.the.fixer
Gao The Fixer :
Wallah hakika Mungu atakulipa… Ameen…
2026-06-30 17:05:56
11
90aleboy
October boy :
Dah huyu mchizi alikuwa bonge la striker Azam B mwaka 2011
2026-06-30 20:56:27
6
matuid.ac
MATUID AC :
broo pole
2026-06-30 20:18:02
1
paulfranc2
paulfranc2 :
Dahh pole brother 🫡🫡🫡🫡
2026-07-01 12:39:21
0
shaibumkana
Shaibu Mkana :
Pole sana Balotel nakukumbuka yote uliyopita ni mungu.Ck ukipata nafasi hebu tembelea home nayajua uliyoyapitia.
2026-06-30 15:36:58
10
rita01548
Rita :
Pole sana kakangu jamani inauma sana 😭😭😭
2026-06-30 11:32:46
6
taylorlevels
JitaMbue🤔⛔ :
Strong sana kizazi.. Eebwaeeeh wazi chozi linanafasi kwa story hii..
2026-06-30 12:06:18
5
user6060312760661
MSELI FASHION :
pole sana kaka
2026-07-01 12:35:03
3
cute_rehema8
cute lips :
ila uyu jamaaa km nilisoma nae vituka secondary😌
2026-07-01 10:31:56
0
jumajulius163
Juma Julius :
bro kayazuia machozi lkn imeshindikana😞
2026-07-01 13:15:22
3
hopemduma
Hope Mduma :
iyo ndiimbaya saanaaa iyoooo
2026-07-01 11:05:10
3
To see more videos from user @shebbyalawi8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About