@simukweli: JBL partybox CLUB 120 Vs W-KING H330 Una hitaji Bluetooth speaker kwa ajili ya matumizi ya nyumbani je uta tumia ipi Kati ya hizi.? JBL : 1,200,000/= WKG : 500,000/= Makumbusho Bus stand | The Gem Plaza

simukweli🛒
simukweli🛒
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 10:57:20 GMT
16648
572
55
12

Music

Download

Comments

rmaduhu
Ruben Maduhu :
huku kwenye simu zetu tunasikia quality ya simu zetu tu 😅😂👈
2026-06-30 17:51:40
12
user9952812366881
@luckyshoes :
JBL to the world
2026-06-30 20:46:25
1
afrikayetu.oliginal
ASILI YA MUAFRIKA :
JBL nzur ila w king bass yake atali , sasa w king wakiwa na kubwa kama JBL iyo si itakuwa balaa
2026-06-30 21:58:36
3
tqnails_beauty_lounge
tqnails_Beauty_Lounge :
kaka naomba kuijua vizuri hyo W king 330 uwezo wake kwaujumla
2026-06-30 19:42:38
1
simon.mwanila
Munge Creater🪧 :
w king
2026-06-30 19:18:47
1
athumanmavoice
mavoice :
jbl
2026-06-30 19:21:58
1
sonmin644
MR SON :
JBL
2026-06-30 11:53:54
3
peacemind60
Onesmo :
JBL iko vizuri sana wking inadistot
2026-06-30 20:10:25
1
user9070310778449
pio :
sasa mbona mm simu yangu haina speaker
2026-06-30 21:58:35
1
underground.nipper
Power :
JBL itabaki kuwa pale pale
2026-06-30 19:41:29
1
nshimmie
nshimmie :
Jbl ni quality sound na hiyo wking ni kelele tu
2026-07-01 05:34:15
3
kellyharshly
msikite86 :
Actually ni Wking hasa kwa muonekano wake sound poa kwa bei affordable
2026-06-30 20:11:17
1
ngaistevenngai1
steven ngai :
ukweli ni kwamba w-king pia ina mziki mzuri kama jbl na ukija kwenye bei w-king wana bei nzuri.
2026-06-30 19:58:47
1
macj36
Mac Jr :
Tatizo sio speaker ishu una play stream nyimbo za quality nzuri kwenye hiyo speaker ?
2026-07-01 16:36:45
0
zenthra7
homme de dieu :
jbl better than wking naweza kutumia ata kwa party
2026-07-01 04:39:37
1
meddy.tawakal7
Meddy Tawakal :
wking
2026-07-02 07:51:59
0
h_kizwi
HK :
Tuache unafiki jbl mziki wake upo vizur zaidi na umetulia sana
2026-07-02 05:55:45
1
papacyusa4
Aminadab250 :
JBL inakuja na microphones ngapi?
2026-07-01 05:27:20
0
yulemkaka63
YULEMKAKA🧸 :
W-king T8II inauzwaje
2026-07-06 05:13:54
0
edenelias658
garden 🏡🍁 :
JBL ni 🔥🔥🔥
2026-07-06 20:09:18
0
herode.255
Herode :
wengi mnakariri brand
2026-07-02 15:30:01
0
m2nguja
Lius dsr-50 :
Jbl Atabaki kuwa juu uoni quality ya mziki atutaki bass kama bass ipo power boost
2026-07-02 11:42:23
0
farida__tz
user2257285047347 :
JBL 🔥🔥
2026-07-02 11:20:19
0
chosentz001
chosenAfrica :
Kwa hapo jbl
2026-07-03 05:47:33
0
kisomaaidan1
life bike :
jbl
2026-07-01 06:11:43
0
To see more videos from user @simukweli, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About