@mkakamweusii: Mama Mchungaji akutana na ukosoaji mkali mitandaoni baada ya kusambaa kwa video zake akitoa ushauri kwa wanawake. Maoni ya wakosoaji yanadai kuwa Mchungaji anatumia Hisia na Maumivu ya kuachwa na mume wake kuwajaza ujinga wanawake wengine hususani mabinti wadogo. “Ndoa yake imemshinda kageuka kuwa mshauri wa ndoa za watu wengine, anachokifanya ni kuwafundisha mabinti kuwa washindani wa waume zao na sio uhalisia”#creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights #creatorsearchinsights

mkaka_mweusi☻️
mkaka_mweusi☻️
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 11:14:59 GMT
5973
117
11
36

Music

Download

Comments

taina622
taina :
Kweli kabisa dada
2026-06-30 11:22:54
1
aludomakori
Aludo Makori :
Tenaujinga kweli,ya kwake yamemshinda anadhani nasi tumeshindwa?
2026-06-30 17:53:00
1
danickdanickelish
danick :
Kweli
2026-06-30 18:34:14
0
user10466140819082
dinah :
Sio mtumushi wa mungu usimkosee mwenyez mungu,sema kuna mwanamke
2026-06-30 17:04:57
1
khairaty_dudu
khairaty_dudu :
kweli
2026-06-30 16:29:14
0
thina.deriki
Thina Deriki :
kama ujawai kutapeliwa na mwanaume uliemzalia watoto dada uwezi kumuelewa ila mm nimeelewa sana Tena nimpenda🙏
2026-06-30 18:32:43
3
anu24247
anu :
mwambihe. kabisaa
2026-06-30 11:21:05
1
martha.samson6
Martha 💜💜 :
we nae umekurupuka
2026-06-30 18:05:44
1
To see more videos from user @mkakamweusii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About