Kuanzia harmo mpaka D voic wote mnawashuti 😂😂😂 nyie wadam baan..minajiulizaga maswali mengi sana hivi kianzia Harmoniz, rayvanny,rich mavoko,lavalava,mbosso, wote ni wabaya kweli?? Is it true kuwa hakuna makosa Diamond amewafanyia..hata kwenye mkataba ya team za mpira ikotokea mchezaji anataka kuondoka nadhani kuna kuwaga na ile realease clause team iki mtaka ita lipa.. why wasafi msani akitoka zinaanza zogo 😂😂😂