@dee_bongolyrics: Mapenzi kitu gani by MBDogg ft Chelea Man Huamini miujiza mchumba, sauti ya nyuki inasikika❤️🥺 #fypシ゚viral #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #bongofleva #fyppppppppppppppppppppppp
vipindi kama 5 vya redioni enzi hzo vimetajwa hapo, I think this is the song with well planned lyrics ever
2026-07-01 05:23:34
5
Hytham Zahoro :
Af verse yote kumbe ametaja vipindi vya radio 😅
2026-06-30 21:26:42
8
Riziki mutu bien :
ezizetu
2026-08-19 13:59:24
0
Doreen Shann :
The way I used to wait for his songs on the radio😩
2026-07-05 08:35:07
1
mom💫boys✨🦋 :
mb dog😘
2026-08-14 20:23:14
0
mohamedMustafa :
Hawa wasanii nyimbo zao zizohit wangefanya collaboration na wasanii wa kizazi kipya kama marioo, Diamond, Rayvany ingekuwa poa sana.. Kama hii hapo aingie marioo omg ni balalaaaa mb dog fanya jambo bhana
2026-08-04 04:27:55
2
filoface :
wimbo wangu pendwa ulinipeleka kwenye 🥰🥰
2026-07-14 16:34:39
1
shanymshiu :
good
2026-08-11 16:45:53
0
abuubakarykisheos :
jamaa alitumia stations za redio na ikawa bonge la ngoma
2026-08-14 16:40:35
0
Maufi zombie :
hii song nikiskia nakosa tusi la kumtukanq huyu msanii maana aliua sanaaaaaaa
2026-07-02 18:49:50
3
user6279499815635 :
mbona hakuepo huyu
2026-08-12 12:22:37
0
Self Mwinyi :
mkuuu
2026-06-30 16:03:00
0
Amina mwavita :
mabrouk ♥️🥰
2026-08-06 15:15:27
0
Celestine Masinde :
tamuuuuu💕💕💕
2026-08-07 07:08:33
0
maryam rajab :
nilikuwa naipenda mnoo
2026-08-23 22:05:59
0
it's jeny :
Sijamuona Mb dog kwenye miaka 30 ya bongo freva
2026-08-09 20:18:27
0
hanifa 040 :
🥰waa dogg man
2026-08-09 19:46:52
0
Maureen🥰 Quen :
naipenda sana nyimbo yako
2026-06-30 17:09:35
0
To see more videos from user @dee_bongolyrics, please go to the Tikwm
homepage.