@hafidhvibes: Leo unatazama picha hii, kesho huenda ukawa wewe unatazamwa. Maisha ya dunia ni mafupi kuliko tunavyodhani. Tunahangaika kutafuta mali, umaarufu na starehe, lakini mwisho wetu wote ni kaburi. Hakuna anayeweza kujua siku wala saa yake. Tubu kabla mlango wa toba haujafungwa. Rudisha Swala zako, soma Qur'an, mtaje Allah kwa wingi na waombee wazazi wako. Ukifa, mali yako itabaki, marafiki wataondoka, lakini matendo yako yataandamana nawe kaburini. Mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema, atusamehe madhambi yetu na atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa Peponi. Aamiin. 🤲 #KumbukaKifo #MwenyeziMungu #Allah #Toba #Quran
Qari_Official
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 12:47:01 GMT
Music
Download
Comments
Makhthoum :
Ameen thuma Ameen 🤲🤲
2026-08-28 15:48:45
2
💫 FATTY 💔 :
Allah forgive us 🙏
2026-08-28 17:19:17
0
KIDORE scombixo♣️ :
Allah a2jalie mwixh mwema
2026-08-28 17:44:55
0
💦💕💗cute💞💓 fauzia 🥰😍❤️ :
amin amin amin amin
2026-08-28 20:08:17
0
user6216972045362 :
Allah Atujalie mwisho mwema
2026-08-28 17:40:06
7
🇧🇬mrs......💫💞 :
ameen.ameen ameen ameen thuma
2026-08-28 11:51:11
0
Mohamoud Ronoh :
Allah tujalie mwisho mwema na utusamehe madhambi yangu.
2026-08-28 18:17:17
3
askia mud cham :
𝕒𝕞𝕚𝕟 𝕚𝕤𝕙𝕒𝕒𝕝𝕝
2026-08-28 19:13:16
3
naymer :
eeh mung tujalie mwish mwem
2026-08-28 16:03:10
1
msami :
allah 2jalie mwish mwem
2026-08-28 17:50:50
1
chandehusna :
Mmungu twakuommba utujaalie mwissho mwema twakkuomba utasameh maddhambi yet
2026-08-28 14:26:50
2
cutee fetty :
allha tpe mwsho mwemaaa
2026-08-28 14:44:02
1
Mau dac :
Allah tufanyie wepes na utujalie mwisho mwema
2026-08-28 15:48:58
2
sheby,,2006 :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-08-28 15:45:14
1
official sabrinah🌹🥰😍 :
Allah atupe mwashilio mwem amina
2026-07-17 19:19:14
3
Ukhty Queen :
Ya Allah tujaliye mwisho mwema
2026-07-01 17:47:49
4
Saum omari :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-08-06 09:51:32
2
fthm_4 :
Allah atujalie mwisho mwema yallah
2026-07-01 17:50:02
2
JOX NYOKAA!!!! :
innalilah wainnalilah rajuun
2026-06-30 18:10:08
1
Salimu Shendama :
yaarab type mwisho mwema
2026-08-07 06:11:14
2
Maynahbeka :
Allah atujaalie mwisho mwema
2026-08-28 14:06:05
1
salunende :
tupe mwisho mwema yarabiy
2026-06-30 14:00:41
1
Tausi Seif :
Allah tujalie mwisho mwema
2026-06-30 17:52:31
1
thuma jumadari 001 :
Yaa Allah atujalie mwisho mwema
2026-08-28 20:54:43
0
Tiffany❤️🦋 :
allha tupo mwisho mwemaa
2026-08-28 20:56:18
0
To see more videos from user @hafidhvibes, please go to the Tikwm
homepage.