@ebm_electrical: JENGO NI UMEME🧰 EBM ELECTRICAL INSTALLATION INAKULETEA HUDUMA ZA UMEME TANZANIA 🇹🇿 NZIMA 🟢SITE VISITING….hufanyika kabla kbsa yakuanza hatua yeyote na hii ni kwaajili ya elimu ushauri na makabidhiano ya kazi ktk jengo lako 🟢CIRCUIT PLAN….uchimbiaji wa bomba na mfumo mzima wa jinsi umem utasafir ktk jengo lako 🟢WIRING INSTALLATION…..uvutaji wa waya ndani ya bomba na ni kwa umakini mkubwa 🟢SWITCH AND LIGHT DECORATION….hapa ni maswala yote ya taa na ufungaji switch kwa njia ya kisasa PIA EBM INASHUGULIKIA MASWALA YA ☑️MOTOR GATE…hii ni kwaajili ya kufungua na kufunga geti lako kwa remote na ni swala zima la umeme hutumika(MAFUNDI WABOBEZI KWA HILI WAPO) ☑️AC COPPER PIPE FITTING AND INSTALLATION…..ebm hufanya fitting za AC pia kuifanyia instillation kwa matumizi(mafundi ni special kwa AC wpo) ☑️CCTV CAMERA….ebm hufunga camera kitaalamu bila changamoto yeyote badae ☑️ELECTRICAL SECURITY FANCE…….ebm hujihusisha na maswala yote ya ufungaji wa fance ya umeme kwa umakini wa hali ya juu ☑️UFUNGAJI WA FENI NA HEATER ZA MAJI……pia huhakikisha nyumba yko imefungwa feni kwa umahiri na pia heater zako zipo installed bila kusumbua badae >>>>HAKIKA USISITE KUWASILIANA NASI KWANI HUTAJUTIA KUFANYA KAZI NASI KWANI TUPO KWA KUFANYA KAZI KWA UMAHIRI WA HALI YA JUU<<<< ☎️Piga/whatsapp/text: 0672475628