@ms_leene: #viral #fyp

ms_leen
ms_leen
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 13:44:32 GMT
1977719
122354
1963
2181

Music

Download

Comments

brightfaturemedicalclinc
Brigh Future Medical Clinic :
Tulio ona original ya hii tujuane kwa like ❤️❤️❤️👋
2026-07-06 21:24:53
1460
user8454062453174
[email protected] :
kumbe ndo ww unaekataga Salio langu Kila siku
2026-07-02 09:40:24
722
saguda5
199701103150 :
je ukiwa wew ndo unampigia mtu akawa hapatikani nani huwa anakusemea
2026-08-14 18:12:24
157
user7949762706758
Naah 💗 :
mwenyew huyu apa
2026-08-21 20:03:35
45
ummuh440
ummuh :
sio wew komwe
2026-07-01 18:07:28
53
user2811113665456
jesca chazy :
vp kama ww ukiwa unampigia mtu afu hapatikan nani anasimama kwajili yako sasa
2026-08-02 15:13:53
62
brendazaina
Brenda zainabu :
huwa unajuwaje kama haipatikani🤣🤣🤣
2026-07-23 19:09:10
57
jumalambert
MR. Lambert :
nataka nikiwa na mpigia mpenzi wangu usiwe unaongea hapatikani Bora unyamaze tuu maana nahic kanichiti
2026-08-21 18:47:50
13
user93290945965960
msafiri :
afu sauti yako ni nzury sana,, nimekupenda,,,, naomba namba yako
2026-08-20 20:57:00
20
monilplus
monilplus :
yan mm nikiwa na mpikia Dem wangu cm kumbe unaniambia apatikan kumbe niwew ex wangu
2026-07-18 22:14:08
14
elizabethmaseta16
2072010 :
kumbe ndo wewe unasemaga mume wangu hapatikani🙄
2026-08-11 19:51:27
8
user6932435901325
proposal :
sio huyu
2026-07-06 09:54:41
20
user11990363856087
denis tumain :
au wewe ndo unanifokeaga nkiishiwa salio eti nisibip tena 😅😅😅😁😁😁🤣🤣🤣
2026-07-26 20:52:12
6
optimusprime2540
. :
kumbe n ww tusipatane 😁😁
2026-07-31 15:54:17
6
user5533788862099
abdillahi muhammadi :
ssa kwani I hapatikani
2026-07-07 08:23:47
7
mohamedishime619
mohamedi shime :
sema nn umetisha sana pia mungu kakujalia jambo fran
2026-07-07 20:08:24
9
jafarmg4
Mzee wa kuwadungunyura :
asaiv asipopatikana demu wangu nakufata wewe nishakujua
2026-07-20 09:22:28
7
user9509800275530
mike :
Sio huyu
2026-07-07 19:54:34
7
paulcharles6239
Paul Charles :
sema kunamda hua unani kosea kunamtu hua namdai ilakilanikimpigia unamtetea hivo kwanini.
2026-08-01 21:20:14
10
www.0826717392
Mapenzidawakali Wangusu :
donc c'est toi qui consomme nos unités
2026-07-03 10:42:45
11
frankmbwilo816
Frank Mbwilo :
daaa leo umepatikana bhanaaa😁😁😁
2026-07-08 19:15:13
21
jeniflavius
Jeni Flavius :
Xio ww mmmmhhh me ninamjua bana ......
2026-07-20 14:57:39
5
elianapaul833
eliana❤❤ :
sio yey nimim uyo
2026-07-06 18:41:30
5
nabiielia1
nabiielia72 :
Ooh kumbe ndo weweeeeee🤣🤣🤣🤣🤣 umeniharibia madili mengi sana ungejua
2026-07-14 14:22:56
89
rehemamaganga5
rehemamaganga5 :
mbona kama AI... sijui macho yangu lkn
2026-07-01 18:22:22
61
To see more videos from user @ms_leene, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About