@uswege_danken: BREAKING; Pacome Zouzoua amepata injury mbaya sana katika mchezo wa mwisho wa ligi dhidi ya JKT baada ya kufanyiwa foul mbaya na Hassan Wahabi. Pacome amevunjika kifundo cha mguu Get well soon #uswege_danken #uswegeupdate #uswege_digital #yangasc #ligikuu