@bondeicon_brand: Zuchu amefunguka kuwa hatakuja kujiinga kwenye mabeef kamwe na hata mtu akitaka beef na yeye, zuchu ataendelea kumsalimia akiitikia sawa asipi itikia pia sawa... Yeye ataendelea kufanya mziki wake na maisha yake yataendleea kama kawaida . #zuchu #zuchu_official #wasafimedia
Bonde Icon Brand💠
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 14:18:24 GMT
Music
Download
Comments
dorolifeathome :
Kanavyo hongeaga kama mama samia sasa 😂🥰
2026-07-01 01:46:13
134
salbby :
jamn had raha zuchu
2026-07-01 11:24:50
0
user7996985122770 :
unaongea kama mama samia
2026-07-01 06:31:11
92
_beingcynthia :
this right here is KHADIJA KOPA speaking🥰🥰🥰🥰🥰
2026-07-01 06:52:50
37
nasri mohd :
unaongea kama mama samia
2026-06-30 20:23:20
74
sarioleboo :
izo nyimbo zako si beef?
2026-07-01 07:48:23
8
esssy29rzk :
simm mungu anipe huu moyo jamani napenda lkn mm swez nyamazia mtu
2026-07-01 06:56:15
20
tiffahnana,🍼💦💦 :
apo apo waongezeee sauti 😅😅😅😅
2026-06-30 21:35:21
41
munira said ally seifu :
paferct
2026-06-30 18:36:59
29
Filo💔 :
Nice ndo maan nakupenda
2026-06-30 17:41:36
57
𝐳𝐮𝐮𝐛𝐚𝐛𝐲❤️😘 :
zuchu unaakili san
2026-07-01 06:01:22
3
Bianca Lahm :
very wise
2026-07-01 11:14:40
0
umair :
sasa Huu ndio ukweli jamani perfect kabisa 🥰🥰🥰🥰🥰💯💯❤️❤️
2026-06-30 20:09:03
8
Catherine Matembo :
akili kubwa sana Mrs Simba nakupendaaaaaaa bwana weeee
2026-07-01 00:45:12
10
♥️It's Lily🌹♥️ :
woow nakukubali wewe
2026-06-30 22:21:44
8
user8355560404340 :
fact unaakil sn
2026-07-01 11:07:48
0
cute p :
wise lady☺️
2026-07-01 08:30:33
0
Veronica Luvindu :
hua unashindan kweny nyimbo mbn
2026-07-01 06:33:03
8
user3078135517814 :
ndo maana nakupenda zuchu wamekujaribu sanaa but you always focus on your craft na ndo maana Mungu kila siku anawaumbua maadui zako
2026-06-30 19:20:37
9
Zahara Hussein :
ndo maan nakupenda mpenz shikilia apo apo
2026-06-30 20:46:55
5
Rehema Ally :
kabisa ❤️
2026-06-30 16:52:24
6
@zaitun435 :
real sister love u
2026-06-30 18:07:04
5
its_Nzira :
it's so really
2026-06-30 20:55:16
5
Rose🌹 :
20)20 chap chap
2026-07-01 06:21:40
3
To see more videos from user @bondeicon_brand, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.