@kiswahilitvonline: Paccome Zouzou avunjika mguu kipindi cha kwanza cha mechi kati ya Yanga SC dhidi ya JKT Tanzania Juni 30, 2026 katika mechi za Ligi Kuu msimu 2025–2026 . Mpaka sasa kipindi cha kwanza Yanga SC 1–0 JKT Tanzania

kiswahili Tv
kiswahili Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 14:24:52 GMT
324399
14564
898
436

Music

Download

Comments

rebecamwaipaja
sophia Bonifasi :
me Simba tuweke ushabik pembeni Mungu aponye wepes🙏🙏🥹
2026-06-30 16:24:26
276
user8841567429390
Michael Mmbuji :
Eee Mwenyezi Mungu mponye arudi kwenye hali yake ya mwanz
2026-06-30 15:21:18
267
shiper2004
shiper@ :
aseeeeeeeeee daaah pacome why😭
2026-06-30 16:39:26
1
siamexmhrm9
Jacob :
Mimi ni shabiki wa simba lakini kwahili kwampambanaji na mwana ume mwenzangu kufanyiwa hivi nimeumia sana.eemungu fanya uwepesi JUU ya huyu mpambanaji.
2026-06-30 15:32:09
81
pasko.wawa0
Pasko Wawa :
masifa tu afe kabisa
2026-06-30 15:19:23
57
last.king9987
😎Last king 🤴 :
Kwan Yey ndio wa kwnz kuvunjika
2026-06-30 15:25:56
48
christina_mamy
Christina :
Mimi ni mwanasimba ila kwa hili nimeumia sana sana zaini ya sana😭😭😭😭😭
2026-06-30 17:19:26
21
ilhamlee61
Ilhamlee😊 :
me ni shabiki wa SIMBA ila dah nimeumia
2026-06-30 15:37:19
17
samboytz29
Sam boy tz :
wana simba oye
2026-06-30 15:56:21
6
hidaya.kibona
Hidaya Kibona :
pole mwaya pacome utakua sawa inshallah
2026-06-30 16:02:32
2
maliamu.magungu
maliamu magungu :
utapona kwa uwezo wa Allah
2026-06-30 15:53:43
17
quincy._cerlyn
🌸cerlyn🌸 :
Sema astaqufullilah ww hujafa hujaumbika ww 🥺🥺
2026-06-30 15:45:28
8
user1700730880185
muna :
ee mwenyezi mungu naomba maumivu ya pacome niyabebe mm tafadhal umpunguzie adhabu
2026-06-30 16:06:09
11
yusra.eliasi.tz
Yusra Eliasi tz❤️ :
Kila alie furahia hii mungu akashunglikie upande wa familia yke kwanza
2026-06-30 17:16:54
8
meryyusuf741
marry yusuf :
eee mungu mwenyewe huruma mponye na acheze tena ilove pacome
2026-06-30 15:56:58
9
user3432662327465
selin :
pole saanaa pacome jmn pole sanaaaa
2026-06-30 18:18:26
0
tamasha.255
Tamasha 255 :
get well soon papaaa🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-30 18:28:01
0
joseph.shega
Joseph Shega :
daaaah ata Mimi limeniliza pacome mungu amusimamie
2026-06-30 16:53:03
5
joseph.mathaw
Joseph Mathaw :
kinapenda sifa kione
2026-06-30 15:03:14
19
jazla31
jazla :
mungu mfanyie wepes kipenzi chetu cha yanga💚💚💚💚💛💛💛 pole kaka
2026-06-30 15:20:28
21
reckon058
Reckon 255 :
shida zuluma,,
2026-06-30 15:03:44
6
user7806340043084
dijok :
mungu amfanyie wepes mchezaj wetu tegemezi daaaaah
2026-06-30 16:47:58
11
angelinaalphaxsad
angel :
mungu amusaidie mchezaji wetu amponye haraka 🥰🥰🥰🥰
2026-06-30 17:14:58
12
07887022we4
lizzy :
mungu amufanyie wepesi apone jaman
2026-06-30 16:25:08
1
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About