@mc.leystar: Pole sana Pacome 🙏💛💚 Mguu umevunjika, lakini ndoto haijavunjika. Rudi imara zaidi Pacome. Familia ya mpira tuko nawe #YangaSC #Wananchi `#Pacome Wananchi GetWellSoon PonaHaraka NBCPL TzFootball TimuYaWananchi MunguAkubariki FootballTZ` #creatorsearchinsights #momsinthemorning

MC  Leystar
MC Leystar
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 14:30:17 GMT
135280
6455
403
188

Music

Download

Comments

nurathy.kapaya
🔏 nurathy kapaya🌷 :
mm ni simba lakini nimeumia san mungu amfanyie wepes apone wallh 😭😭
2026-06-30 19:08:30
64
begochibrand
BEGOCHI BRAND :
@BEGOCHI BRAND:kama unaamini pacome atapona na kurudi tena uwanjani gonga like apa
2026-06-30 17:38:18
69
mkami.chacha45
Mkami Chacha :
pole pacome
2026-06-30 19:37:10
2
charity92720
charity :
Kam unaamin pacome atapon gonga like hapo
2026-06-30 19:03:20
37
fessah.nkopo1
fessah nkopo :
aseh inasikitisha sana ila mungu yupo
2026-06-30 18:20:49
23
vasco4219
074760314606371931460747603146 :
kama unamini mungu anaku linda popote ulipo gonga like hapa
2026-06-30 17:47:10
61
user3056539382239
baba po401 :
jaman mungu amponye pacome jaman tumeumia sana taifa zima la wamasai
2026-06-30 19:43:04
11
professor_maliki
Professor_Mk41 :
kama unaamini pacome atapona Kwa Imani weka like♥️
2026-06-30 21:04:22
5
kalelemhd125
kalele mhd :
sifa zilikuw zime zid haya akalale salama?
2026-06-30 20:56:25
3
fetizzy_
fetizzy 🥰🥰🥳 :
pole sana kaka mungu awe nawe inshaallaah utapona man yeye nikila kitu
2026-06-30 19:09:12
8
muzdarfaty
Muzdarfaty❣ :
ahsante sana mungu kwa kufanya jambo kwa huyu
2026-06-30 20:38:18
5
joseph.kisusi.0789
Joseph kisusi 0789563220 :
Asante sana kuumia huyo kuma
2026-06-30 19:00:12
1
aishshibn.shibani
Aishshibn Shibani :
vunja kabisa iyo milonjo
2026-06-30 19:49:24
0
sabra.mussa97
sabra mussa97 :
Mungu atakufanyia wepes mashabiki wako tunakuombea pia tunakupenda sanaaaa
2026-06-30 15:54:38
8
cheche.vary
Cheche Vary :
duh pole aseee
2026-06-30 21:24:28
0
deus.paulo1
chongo msnk family :
2026-06-30 17:23:05
1
binamu.hamza
[email protected] :
pole san
2026-06-30 20:46:15
0
dianamwangatale
Diana Mwangatale :
pole san
2026-06-30 20:42:06
0
bufakiddy3
BUFA KIDDY :
pole jembe let la nguvu.
2026-06-30 17:19:29
7
elizabeth44383
Elizabeth44 :
Poleni san mungu yupo pamoja na pacome atapona kwa jina la yesu tumuombee tyu mungu ndo muweza wa vyote
2026-06-30 17:21:18
12
awesahamisi251
rahma ninoo :
pole sana pakome mungu atafanyia wesi
2026-06-30 18:33:26
6
5050ibrah
Ibrah5050 :
utapona kak mungu yupo
2026-06-30 19:56:07
4
plasmoh..23
plasmoh..@23 :
Atujafa atujaumbika jamani. Mungu akufanyie wepesi, 🙏
2026-06-30 21:03:15
3
husntysaid
husnaty :
Allah ukufanyie wepes kipenz chetu jamn
2026-06-30 19:54:57
3
user4275849811712jureen
mama Ivan :
pole sana pacome mungu akupe wepes upone mapema
2026-06-30 17:46:16
1
To see more videos from user @mc.leystar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About