@kibaga.harvest.mission: #kibagaharvestmission Bado AI haitoweza kuchukua mbadala wa watu walioamua kumwabudu Mungu katika uhalisia bado yupo yule azuiae maovu ya adui ambaye ni kanisa#praise #fyp #jesus #fyppppppppppppppppppppppp
Assemblies of God My Church❤️❤️,,, Barikiweni sana Ndugu Zetu wa TAG huku Kenya wana KAG twawapenda
2026-07-01 18:39:43
2
*Kadege Cosmetic* :
2026-07-01 09:54:33
2
Godlove in Wheels :
Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Sio akili mnemba.
2026-07-02 13:39:24
2
neema_sims :
Nyimbo inaitwaje?
2026-07-01 17:34:36
2
pastor Fredrick Nanyaro :
2026-07-01 12:59:54
3
💲💎$TËV£💎💲 :
me pia siwezi sikiliza AI
2026-07-01 09:47:47
3
De principal boy :
hii saut ata Ai amesalendar😁
2026-07-01 19:48:49
4
Promise Edward :
hii nyimbo inaitwaje et
2026-07-01 23:30:32
0
Richard Joseph :
maximum utilization of Gods gift. the lady is blessed indeed
2026-07-02 05:44:44
1
MZALENDO WA PILI 🇹🇿 :
hizi ndo nyimbo achana na AI
2026-07-02 05:46:34
1
Enosh Nyangena :
Amen, I can't stop listening to the song as more as I can
2026-07-01 17:49:27
1
Yaredi mtokambali28 :
ooh my God
2026-07-01 08:42:59
1
jenifer :
Jamani nimeupenda wimbo unaitwaje
2026-06-30 15:30:08
3
ba’mdogo83 :
Hii nyimbo mbona haipo Spotify
2026-07-01 11:47:59
2
Gwa Lupakisyo :
yaani na Hata sifikirii kuacha kusikiliza nyimbo za AI ninachoamini ni Mungu yupo na anatenda chochote nitafanya kikubwa kimtukuze......
anaway hata hii nyimbo imekaa pouwa sana Mungu ambariki alieimba
2026-07-01 15:15:10
4
G BREEZY :
Wanasijiliza Nyimbo Za AI Hawapati ile Sound original iliobarikiwa
2026-07-02 07:19:43
3
Promise Edward :
hii ni nzuri hakika utukufu apewe Mungu na lazima niifanye 🔥🔥🔥🔥 I love this song Mungu niinue sasa baba
2026-07-01 23:29:09
1
shaowity :
ameeeeen
2026-07-01 13:53:32
1
Esther Thomas :
hakika
2026-07-01 11:32:34
1
To see more videos from user @kibaga.harvest.mission, please go to the Tikwm
homepage.