@cute trinity::Zamani nilijua mtu akiwa na miaka 22 ni mkubwa na anapaswa awe na pesa nyingi na ndoa ila sasa nina 26 nipo kama mbuzi aliyepotea 🥲🙌jmni mnishauri😂🥺🥺🥺nifanyje
2026-07-01 08:09:30
4
Official_sulley :
20/20 family
2026-07-01 14:46:03
3
itsnobby :
🥰🥰this couple nibalaa
2026-06-30 15:31:06
2
Naomie :
my lovely artist 🥰🥰🥰
2026-07-01 20:12:18
1
Barami production :
hellow bilinas naomba korabo huu wimbo nimeukubari🥰
2026-07-01 06:39:31
7
Rahabu mwalukasa :
20/20
2026-07-01 10:11:12
3
jay.9tz :
2026-06-30 18:13:50
1
Eclany :
pisi ya msela🥰🥰🥰
2026-06-30 16:09:23
4
jenipherwawa :
nyimbo kali sana
2026-07-04 11:55:48
0
JO$@ :
nyimbo Kali sannaaa❤️
2026-07-03 17:23:27
1
Jesca -Adriano❤️💖🎉 :
kaka billnas nakuomba usimuache wifi nandy nitaumia sana nawaombea maisha marefu💛💚💛💚❤️❤️❤️
2026-07-02 20:16:03
2
Ester Elia. :
Mama Naya 🥰
2026-06-30 15:30:41
1
21 celion :
mke umepata billnass nataman nipate couple kama yenu
2026-07-01 23:00:29
1
Nuru Omary :
weee mama nenga🥰🥰🥰
2026-07-03 21:15:24
1
jesca :
nawependa sana ila sema kila nyimbo mnayotoa nakua nimeandika sema mnaniwahi kwenda studio 😁
2026-07-15 19:51:53
0
neemasamwel052 :
hicho kiatu jamani
2026-07-06 19:54:56
0
Yusuph Nyaga :
sana kaka😁
2026-07-15 12:37:43
0
Chalubii :
our country national song perfect
2026-07-09 16:47:37
0
CHARMANTE🇨🇩🇧🇮 :
ka nyimbo ka zuri kweli
2026-07-14 22:38:54
0
mamy Gabriella :
mamy wangu
2026-07-07 08:44:51
1
patrisha msigwa :
penda sana wew nimekuw wa kwanzaaa🥰🥰🥰
2026-06-30 15:27:17
1
To see more videos from user @bill_nass, please go to the Tikwm
homepage.