baba ni kweli ulisema tutakukumbuka saivi siyo hivyo tu yaani tunajuta
2026-07-03 04:27:26
414
JOSEPH SALVATORY :
RAHA YA MILELE UMPE EEH BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE MAGUFURI APUMZIKE KWA AMANI 🙏
2026-07-03 04:58:08
247
happy emmanuel :
mungu akuepushe adhabu ya kaburi baba ulinisaidia nikasoma bure
2026-07-05 16:01:58
196
121 ack@boy :
raha ya milele umpE eeeeh bwana
2026-07-03 15:13:47
50
Recho Thobias :
raha ya milele umpe ee bwana🙏
2026-07-27 17:21:56
44
Butterfly♓👑🩵 :
mmenifanya nimelia upya kama msiba Leo babaa nikiangalia yanayoendelea kwa sasa nashindwa kuelewa kabisa
2026-07-03 07:39:19
86
☘️💐 it's _faa💦 :
mungu akupunguzie adhabur ya kaburi mzee Wetu
2026-07-03 16:46:00
36
ndalu mlawa :
dah machozi yananitoka mungu mpokeee baba🥰
2026-07-01 07:32:09
41
Frank :
mtu w mana san
2026-06-30 17:01:17
24
JOSEPHAT MUTASINGWA :
🥺🥺EEE MUNGU UTUREHEMU KWA DAMU YA MTU UYU naomba utuletee kiongozi mwingine mzalendo zaidi ya uyu na umlinde wewe wenyewe wala cyo walinzi binadamu tuseme wote AAaaaMen!
2026-07-03 17:19:56
37
Hussein Maroa :
You will remain in my heart forever 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-07-02 18:23:07
12
marry laizer🥰♥️ :
MUNGU azidi kukupumnzisha baba yetu tulikupenda sana 🙏
2026-07-06 12:09:08
12
jess_kim6 :
mungu basi atuonyeshe mwingne kama huyu😭🙏 samahn kama ntakua nimeongea vby😭😭😭😭😭😭🙆
2026-07-27 14:18:21
5
Sylvester us :
mungu akupe wepesi huko uliko shunjaaa wa taifa letu TANZANIA 🇹🇿 🇹🇿 ♥️
2026-07-03 13:37:15
14
Zuu official :
pumzika kwa aman 😭
2026-06-30 19:04:32
9
Sety🥰 :
pumzika kwa amani BABA ANGU💋❤️💯
2026-07-02 17:37:33
5
Raymond Msuya :
Huyu Baba huyu baba 😭😭😭😭🙌🙌🙌
2026-07-03 14:59:25
6
Benbalo Extended :
Raha ya milele umpe Ee bwana na na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Amani amina 🤲 daima tutakukumbuka shujuaa wetu
2026-07-10 10:57:44
6
yustin severin :
sina neno zaidi ya kumwambia MUNGU ahsante sanaaa kwa waisha ya huyu baba 😭😭😭
2026-07-02 13:06:38
15
Lovenes Sitta :
baba wangekuaga wanarudi ungerudi japo dakika1 uje ujionee na wewe😭😭😭 pumzika baba kwa amani
2026-07-27 03:43:37
5
Anna Almens :
nlimpenda sana baba lkn ndo ivo kizur hakidum
2026-07-02 16:00:06
16
Madam avy🌹 :
endelea kupumzika kwa amani lkn pia usitusahau Wana nchi wako tuombee TU tunapitia magumu mno na tunakukumbuka sana kama ulivyo wahi kusema🙏🕊️💔
2026-07-03 13:08:50
14
Queenice :
Pumzika yohana 🙏🙏🙏
2026-07-02 12:44:24
22
King Idriss :
tunamuombea sana asw tunatesekaa ase dah
2026-07-02 12:52:16
7
second lady :
tumekukumbuka sana baba yetu upumzike kwa aman
2026-07-02 16:57:20
5
To see more videos from user @officialcharlesalex, please go to the Tikwm
homepage.