@uhuruonline: #MICHEZO : USHINDI wa mabao 3-0 iliyoupatà Yanga dhidi ya JKT Tanzania, umeifanya miamba hiyo kutwaa taji hilo mara 5 mfululizo Ligi Kuu Tanzania Bara. Yanga imebeba taji hilo baada ya kuvuna pointi 72 katika mechi 30 ikifuatiwa na mtani wake Simba yenye pointi 70. Katika mchezo huo, mabao ya Yanga yamefungwa na Prince Dube, Maxi Nzengeli na Depu. #burudani #sports