@aviationtanzania: Helikopta iliyobeba kombe la ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara iliruka juu ya Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo wakati mchezo wa mwisho wa msimu kati ya Yanga na JKT Tanzania. Kombe hilo hatimaye limekabidhiwa rasmi kwa Young Africans baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa mwisho wa msimu, wa Mwaka 2026. #youngafricans #yangasc #aviationtanzaniaupdates #helicopter #nbcpremierleague

aviationtanzania
aviationtanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 15:55:28 GMT
5304
180
1
3

Music

Download

Comments

asakejonh
Asakee :
hii ndo yanga bwana heshima kwa GSM
2026-06-30 17:37:18
0
To see more videos from user @aviationtanzania, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About