@mathayosangason: Asikutishie akisema kachoka kuishi na wewe muache aende akaishi na wahuni njee huko ๐—Ÿ๐—ฒ๐˜'๐˜€ ๐—ง๐—ฎ๐—น๐—ธ ๐—ฎ๐—ฏ๐—ผ๐˜‚๐˜ #๐—Ÿ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ #๐—ฅ๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฝ #๐—™๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ #๐—•๐˜‚๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฒ๐˜€๐˜€ #๐—ง๐—ฒ๐—ฐ๐—ต #๐—›๐—ฒ๐—ฎ๐—น๐˜๐—ต #๐—ฃ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—น_๐——๐—ฒ๐˜ƒ๐—ฒ๐—น๐—ผ๐—ฝ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐˜ #๐—ง๐—ฟ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ด #๐—Ÿ๐—œ๐—™๐—˜

๐— ๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ
๐— ๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ฆ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 16:00:31 GMT
110307
4544
203
1012

Music

Download

Comments

martin67271
madman(matumbaku) :
kunywa soda
2026-07-01 14:19:25
15
new.economy.hardwa
new economy hardware&tools :
good advice, sister may God bless you
2026-08-01 08:19:12
3
born.to.suffer12
Born to suffer :
Haka katoto kana akili nyingi
2026-07-31 09:20:39
2
silaskarani157
Silas Sabwa Karani :
Ukweli huo mchungaji
2026-08-03 15:11:48
2
apollo.bupolo
Apollo Bupolo :
dada Mungu akujalie sana
2026-07-01 20:52:28
11
zainabuismaili2
Z, ๐Ÿ’• I 318๐Ÿ’“๐Ÿฅฐ :
nimekuelewa ngoja nisubili kuombaomba
2026-07-11 19:31:56
4
khaledmhina
khaledmhina :
KABISA
2026-07-23 05:16:00
1
tembasclassicfash
TembasClassicFashion. :
uhakika dada
2026-07-11 17:26:55
2
user6050355293367
[email protected] :
mm nilikua na mke wang nimemuoa akasema amechoka kukaa na mm nikambembeleza hakuelewa akaondoka mpaka sasa anaomba kurudiana na mm na mm ninamke ameomba awe ata mchepuko wang ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ sometime anapga sim nampa mke wang anamuulza ww nan ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ad raha mwanamke sio wa kulazimisha kukaa nae
2026-08-01 11:10:46
5
omoshyeng
OmoshwaBenta :
Shukrani dada.
2026-07-17 00:38:07
1
user8859318135043
user8859318135043 :
yes ukweli ndio huo
2026-07-29 15:32:33
2
user3823673041693
user Elikana elick kasanga :
nakubali dad
2026-07-23 19:16:07
2
jackson.mayala7
Jackson Mayala :
mungu akutie nguvu unasema tu ukweli
2026-08-20 17:33:34
1
babuukitaa971
babuu :
KWELI DADA๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
2026-07-29 14:41:56
1
gerigirydenis
0749911331 :
Lakin simuachi aende na mtoto wangu
2026-08-04 11:43:39
2
meshackkaundama
Meshack Kaundama :
dada kama umeolewa basi nakuombea sana ndoa yako idumu
2026-08-02 13:28:38
2
keraye48
keraye :
kweli kabisa
2026-08-06 10:36:10
1
user6615860372561
mara :
Nakukubali sana dada, wewe ni zaidi ya mwalimu.
2026-08-01 13:44:03
2
mtika35
ELECTRICAL DOCTOR AC&DC :
sema dada ana sema maisha..ya.mtu
2026-08-01 20:47:34
2
alimzee20
ali mzee :
Duuu ningeeka stutus ila napata kigugumizi ayo maneno naambiwa kila siku ila Asante kwa wazo wacha nimuache aende
2026-07-15 11:21:41
4
said.khamiss2
said khamiss :
mhuu dada umeniona mimi au
2026-07-07 14:16:00
4
user3714728392802
Mr:dube :
voice plz
2026-07-02 02:46:02
5
sami.vunakingirwa
sami vunakingir :
mungu akubariki dadangu
2026-07-02 04:59:24
3
kelvinlaurian197
Kelvin Laurian :
nime kuelewa mama
2026-07-03 10:08:02
3
user6712246930788
user6712246930788 :
yaani mrembo nimekusikiliza saana kwa makini kwakweli ubarikiwe na bwana saana kwa ushauri wako mzurii
2026-07-16 12:10:04
2
To see more videos from user @mathayosangason, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About