@brayco_dna_uliweswe: "Nimesimama kuwashukuru viongozi kwa kazi mnayoifanya Mwenyekiti,Diwani, Mbunge na viongozi wengine wote, niwashukuru kwa sababu ya kujishusha kwenu,unyenyekevu wenu mlionao na ndio maana kazi inasonga mbele Mungu awabariki sana"- Elizabeth Msingwa mkazi wa kijiji cha Ibaga akizungumza mbele ya Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga Leo Juni 30 katika ziara yake ya Kijiji kwa Kijiji kwaajili ya kusikiliza kero za Wananchi na kuwapa mrejesho wa kazi ambazo zimefanyika na Ile itakayotekelezwa. Watu Ibaga Tukutane kwenye Comment mtuambie aliyoyasema Mama ni kweli ??? #trendingvideo #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktoktanzania #trendingtiktok #makete