@ashmar_quotes: Nina wivu kwa sababu nakupenda, si kwa sababu sikuamini. Wivu wangu haujatokana na kukosa imani kwako, bali umetokana na hofu ya kupoteza mtu ambaye ana nafasi kubwa sana moyoni mwangu. Kwangu, wewe si mtu wa kawaida. Wewe ni sehemu ya furaha yangu, amani yangu na chaguo la moyo wangu. Ndiyo maana ninakulinda kwa upendo, si kwa mashaka 🥺❤️🫂.#fy #contentcreator #lovequotes #TrueLove #viralvideo @TikTok @tiktok creators @AzamTV