@babukatanga_comedy: #yangasc #simbasc #fyp #ligikuutanzaniabara #fyp

Kamata Africa Swahili
Kamata Africa Swahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 16:25:05 GMT
268023
18273
687
245

Music

Download

Comments

pastor.haruna
Haroun band! :
kama wewe ni mwana simba na hujapenda naomba like familia
2026-06-30 19:25:49
651
miss.happy167
miss happy :
Ila moyo wangu umeniuma sana tumuachie tu mungu
2026-06-30 18:24:57
322
billionairejohn....1
billionairejohn2 :
my brother pacome 😭😭
2026-06-30 19:56:34
0
toto.mafipa
toto mafipa🏝 :
kama unamuombea pacome kwa mungu gonga like hapa
2026-06-30 18:55:14
619
user.velian
mom shavin :
anayetaka pacome apone leo kesho gonga like hapa
2026-06-30 20:45:08
42
mama.athuman8
mama Athuman :
anafanya kusudi hii ni ajali kazini kwahyo tusipende kujaji vitu ambavyo havina mantiki ,atakama angekuwa hme pengine angepata kitu kingine so, tumshukuru mungu Kwa Kila jambo acha uchochezi weee
2026-06-30 18:46:08
70
mark.sanga
MDOGO AMOH9 :
kama unamuombea pacome kama mm gonga like yanguvuu
2026-06-30 19:10:28
34
fettyonce7
Thumaa💜💜 :
Daah mim ni Simba ila Mungu atamsaidia tumuombee tyu
2026-06-30 19:05:40
35
chao.tivi
CHAO TIVI :
pacome mungu amponye
2026-06-30 20:52:35
5
user1530201280088
atieno🇰🇪🇰🇪🇹🇿 :
me mwana Simba ila nimeumia sana tu jmn Mungu amponye tu
2026-06-30 19:14:58
9
shaha_sas7
𝓲𝓽𝓼_𝓼𝓱𝓪𝓱𝓪_𝓼𝓪𝓼👑💥 :
Get well soon professor pacome 10 😭😭😭 inshallah
2026-06-30 18:14:59
3
merry.swaya
merry swaya :
pole sana pacome utapona kwa uwezo wa mungu
2026-06-30 18:27:57
17
kizazikatily
Kizazi katily☠️ :
we kuma kweli
2026-06-30 19:12:48
6
zahara.hussein87
Zahara Hussein :
mungu msaidie pakome mpunguzie maumivi
2026-06-30 19:36:33
8
official_jack48
official_ jack🥰 :
wanaosema ni wakati wa mungu gonga lake hapa
2026-06-30 18:02:36
11
asuzingizi97
user6180053771530 :
poleni
2026-06-30 20:22:02
0
light.kbk
offical li :
mmmmmmh
2026-06-30 20:25:49
0
user2080863929729
👣Ngaoh✊ 🔩🤙🤙 :
football family 😥😥😥
2026-06-30 20:27:40
0
asnawihaji6
Maraha Mastarehe Tz :
yye mwenyewe kashindwa kulinda usalam wake kwanza
2026-06-30 18:58:34
8
user8836354787439mamu
mamu tunu :
kabisa kaka hayo ni maagizo
2026-06-30 17:52:29
61
stazia.makala
Stazia makala :
mungu amponye Pakome imeniuma sana
2026-06-30 18:11:47
14
regina.wawosa
reginajameswawosa :
tuamini mungu atamponya alaka mungu yupo karbu kuliko nguo tunazo vaa
2026-06-30 18:35:47
7
user99962795496196
0622226968 :
ila dah 🥺🥺nmelia xana hata hili kombe xjafurahia
2026-06-30 18:41:15
32
vellohmudy
vellohmudy :
jaman pole sana kipenz chetu mungu akuponye mapema
2026-06-30 19:39:36
11
neemaomar702
AuntNeema :
mungu tunakuomba sana msaidie pacome apone 🙏 🙏 🙏
2026-06-30 19:26:35
9
To see more videos from user @babukatanga_comedy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About