@revelation.choir: Katika maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika tarehe 28, 2026, Mhubiri Tusekile Mwatebela, alizungumza kuhusu wajibu wa wanawake ndani ya kanisa na jamii, akisisitiza umuhimu wa kukua kiroho, kuwa vielelezo vya maadili mema, na kulea kizazi chenye imani thabiti. >Tito 2:3-5 #bakinamungu #MoravianChurch #wastahili #creatorsearchinsights