@ntvkenya: 'Nairobi Bird Man' ... Yeye Ni Nani? Rodgers Magutha amewashangaza wengi mitandaoni baada ya kuwafuga ndege wa mwitu na hata kula nao kwenye sahani moja. Aidha vitendo vyake vimewavutia madaktari ambao wameonyesha wasiwasi wao kwa hofu magonjwa. #NTVJioni