@azoretechtz: Hapa ndipo watu wengi wanapofeli kwenye security ya Wi-Fi zao! 🤦‍♂️📶 Kila router ina password ZAINA MBILI: 1️⃣ Admin Password (ya kuingia kwenye mfumo - wengi huacha admin). 2️⃣ Wi-Fi Password (ya kupata internet). Kama uliacha admin/admin default, router yako ipo hatarini na mtu anaweza ku-change settings au hata ku-block vifaa vyako mwenyewe! 🤯 Watch hii video hadi mwisho uone jinsi ya ku-fix hili kosa kupitia app ya TZ-Link na kulinda internet yako! 📱🔐 💾 SAVE hii video uje u-change baadae, m-SHARE-ie mshkaji wako mwenye internet slow, gonga LIKE na u-FOLLOW kwa maujanja mengine ya tech kila siku! 🚀 . . #TechTips #wifisecurity #routersetup #tzlink #techtok

Azore Technologies
Azore Technologies
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 17:21:09 GMT
2722
120
2
7

Music

Download

Comments

salimuallynganzi
kinyamkela officiol :
mchoyo
2026-06-30 18:56:32
2
To see more videos from user @azoretechtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About