@mrnikumbushe12: Usihukumu maisha ya mwingine kwa macho yako. Kila mtu anabeba mzigo ambao kwake ni mzito kuliko unavyoweza kufikiria. Tujifunze kuwa na huruma, kuelewa na kuheshimu mapambano ya kila mmoja. ๐๐ค "Kila mtu shida yake ni kubwa kwake." #MotivationQuotes #LifeLessons #Wisdom #MrNikumbushe #creatorsearchinsights