@radiomariatanzania: BARAKA KUU - MISA TAKATIFU NDANI YA SIKU TATU KUU ZA KILELE CHA KAMPENI YA MARIATHON 2026 - Video ni Padre Dominic Mavula C.PP.S - Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania akitoa Baraka Kuu ya wakati wa Adhimisho la Sadaka ya Misa Takatifu ndani ya Siku tatu Kuu (Triduum) za Kilele cha Kampeni ya Mariathon 2026 - Upendo ni Ushindi. Misa takatifu imeadhimishwa katika Grotto ya Mama Bikira Maria yalipo Makao Makuu ya Radio - Mikocheni Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Makutano yetu ya kuinjilisha na Mama Bikira Maria ni 100200 kupitia huduma ya M-Pesa, Airtel Money na Mixx By Yas. Pia kwa njia ya Benki CRDB A/C 0150303128000, Mkombozi Benki A/C 00811515058001 na NMB A/C 20710108164. MARAFIKI WA RADIO MARIA . . www.radiomaria.co.tz #Radiomariatz #nambayakampuni100200