@gaditv: Mwanamke aitwae Jenipha Paskali (29) mkazi wa kata ya Olasiti Jijini Arusha, ambaye hivi karibuni alieleza changamoto ya figo zake kushindwa kufanya kazi, na kulazimika kutumia shilingi laki sita kwa kila wiki kusafisha figo hizo, ameiomba serikali imsaidie kulipitia gharama za upandikizaji wa figo kiasi cha shilingi milioni 45, na atakuwa tayari kurejesha kiasi hicho kwa muda wote atakaojaliwa kuwa hai. Unaweza kuwasiliana na Jenipha kwa namba zake +255 740 540 489.
🥺 m nikisema na ulaaani umasikinii 🙌 munguu tujaliie rizk tuepukane na umaskinii tuweze kujihudumiaa na kulea watoto na ndugu zet
2026-06-30 20:15:06
144
user4940277541619 :
pole sn
2026-07-01 20:48:59
0
Gee🦋 :
Matajir mpo wapiiii mumsaidie huyu dada Mungu hatawaacha🥺🥺
2026-07-01 03:01:07
78
Angel Shayo :
Ee mungu mjibu huyu kwanza
2026-06-30 23:10:06
79
Dr Dorcas.Caretz.🇹🇿 :
Mwanamke mmoja akilia wanawake wote tunalia 🥺
2026-07-01 13:27:41
41
Reeny ❤️ :
Daaah Mungu msaidie uyu kwanz me sna haraka
2026-06-30 19:27:04
88
kulty :
Alhamdulilah mara milioni Allah ailinde zanzibar na viongozi wake. Mpk dakika hii znz dayalisisi ni bure saa 24 mashine zinazunguka kwa ajili ya raia wake alhamdulilah
2026-07-01 08:18:04
17
Ester Daniel Self :
pole kipenzi mungu akutangulie
2026-07-01 19:22:36
1
userbeauty ummy :
mungu wa rehema atakufanyia wepes
2026-06-30 19:34:25
42
DarlingMa❤️🫂 :
Omba sana acha kulia ongea na Mungu dear mungu wetu anasikiaa haijalishi nini unapitiaa mungu Anawatu wengi Sanaa ❤️❤️send hugs 🫂POLE SANA
2026-06-30 22:34:54
18
Ritha Frank :
Ee Mungu wangu naomba msaidie huyu dada😭🤲🤲🤲🙏🙏
2026-06-30 20:31:30
17
masaki health care :
ingekuwa mm namuomba MUNGU ad point ya mwshoooo najua sntoaibka atoniacha sntaiomba serekal wala
2026-06-30 21:12:13
6
Eddoh Phina :
Mungu tusaidie wamama wote
2026-07-01 18:55:05
1
Sporah Lyimo :
pole san
2026-07-01 20:16:04
0
Saby kimolo :
pole sana dada, Mungu wambingun akponye 🙏🙏🙏
2026-06-30 19:04:12
12
loven494 :
Daaaah😭 Mungu kamuonekanie huyu dada Mimi nitasubiri 🤲🙏
2026-06-30 19:55:29
9
JOYCE LYIMO (nara) :
MUNGU AKUTOE HAPO ULIPO KWA NAMNA YA KUKUSHANGAZA IN JESUS MIGHT NAME 🙏
2026-06-30 20:36:22
9
olympia4reel :
pole dada mungu akuponye kwa mkono wake wenye nguvu
2026-06-30 19:36:11
8
Malema trend's :
Mungu Nakuomba ufanye njia pasipo na njia juu ya huyu dada