Mungu akudaidie san na awe pamoja nawe ugua pole dr
2026-07-01 06:10:00
9
mawazoluchagulaki :
pole sana mpambanaji wetu mungu akusaidie up one naimani kwa kuwa yanga ni nyumbani utapona jisikie kama vile uko every cost utapona kwa neema ya mungu amina
2026-06-30 22:42:40
7
Pasichal sahan :
pole sana pamoja sana tupo pamoj
2026-07-01 10:01:08
4
Efrahimu 😄✨✨💯 :
mungu atakusaidia pacome🙏🙏🫡🫡
2026-07-01 09:15:54
3
Judith Nyeregeth :
pole san mungu yup nawe
2026-07-01 11:33:34
2
user270659981765 :
jaman pole kijan wangu utapona tu Kwa jina la mungu
2026-07-01 15:28:50
1
mc mtumishi :
pore.pore.poreeeeeeeerrrrrrr
2026-06-30 20:06:51
1
Method myumbo :
pole sana MUNGU AMPONYE ARUDI TENA KAZINI
2026-07-01 06:35:32
1
scolah@# :
pole sana kaka angu mungu akutangulie uweze kurundi katika Hali yako ya zaman pole sana tunakuombea kwa mungu utakuwa sawa.
2026-07-01 05:16:33
2
Farida Abdallah :
usijali kipenzi chetu mungu atakusaidia utapona 🙏🙏🙏🙏
2026-06-30 22:35:07
1
Pendo Raphael :
poole sana shujaa wetu naamn mungu atakusaaidia utakaa saw urud tena kwenye nafaas yako wananch bdo tunakutegemea
2026-07-01 11:06:14
1
Jeny Antony :
pore sana💚💚💚💚
2026-07-01 10:37:09
0
Editha_Makanyaga :
nakuombea uponyaji wahalaka
2026-07-01 08:32:27
1
Emmanuel Malyatabu :
pole sana jembe letu utapona tu kwa nguvu za mwenyezi mungu
2026-06-30 20:53:34
1
user1520804603581 :
pole sana sana jembe,mungu anafahamu wajibu wako na nini unafanya hvyo basi mungu atakuponya,namuomba akusikie,🙏🙏🙏
2026-07-01 13:58:03
1
Mussa Kilaka :
mwenzi mungu akupe uzima
2026-07-01 04:28:43
2
jgs :
pole bingwa mungu akuponye
2026-07-01 04:01:50
1
Gift Shirima :
🙏ewe mwenyezi mungu tunakuomba utuponyee mpambanaji wetu
2026-07-01 05:01:37
1
isack chota :
usjali mwamba utapona tu mungu atatenda
2026-06-30 20:25:57
1
Funga Lucas Francis :
Mungu atakupa nafasi nzuri zaidi kwa upande mwingine lakini hapo kwenye hili suala hatufumbiimacho tupopamoja
2026-07-01 08:57:48
1
Diana Daniel :
mungu akuponye
2026-07-04 04:13:34
0
Happy :
Pole sana MUNGU ndie tabibu mkuu atakuponya tu tunakuombea sana sisi wanayanga wote na Mungu hata kuacha kamwe
2026-07-02 20:37:40
0
Pendo Misanga :
pole sana kak
2026-07-02 19:11:33
0
OBAHILYA MASANZAGA :
mungu amponye profedha wa bory
2026-07-03 19:43:33
0
To see more videos from user @jamesyanga0, please go to the Tikwm
homepage.