@nyebowsa_media: Mtangazaji @baraka_mpenja akizungumza na @mpenjatv_ baada ya mchezo wa mabingwa @yangasc na @jkt_tanzania_fc leo jioni Ambapo mchezaji wa @yangasc @pacom_zouzoua amepata injur mbaya sana kiasi cha kuvunjika mguu kwa mujibu wa @baraka_mpenja #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #yangasc #simbasc
Nyebowsa_Media
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 19:28:19 GMT
Music
Download
Comments
Goodluck Ngirwa :
kama unampenda pacome like hapa
2026-06-30 20:20:57
386
tson.0.5💥 :
mungu akuponye pacome tunaheshimu kazi yako
2026-06-30 20:30:37
75
Amini Shabani :
Pacome legendary.........🔥🔥
2026-07-01 00:06:03
0
Baby fatma🥀 :
ata mimi simba lakin nimeumia yan daah mungu amfanyie wepes pacome maana
2026-06-30 21:28:42
45
Fadhili Alli :
nimefulahi sana Leo Angevunyika na mkono
2026-06-30 20:39:25
18
Mese❤️🔥🌹🌹✨ :
Daah nimelia😭😭😭 sana Mungu akuponywe mapema pacome na akutie nguvu
2026-06-30 20:06:28
78
gurman shey :
pole sana pacome
2026-06-30 20:29:19
35
MASTER BRAIN :
mm simba lkn daa inaniuma sana sana sana😟😟
2026-06-30 20:28:26
20
yohane_lihawa#13 :
mungu amjalie kamanda wetu
2026-06-30 21:38:05
12
Asu bike spare part :
daaaa mungu akuponye mapema mm ni mwana simba ila nimeumia sana
2026-06-30 20:17:50
58
user2529306727656 :
Kama unapenda Pacome apo haraka mungu amlinde gonga like hapa
2026-06-30 21:25:00
20
user778126999520 :
mungu amjalie apone haraka
2026-06-30 21:49:19
7
Jaguar master🫡🫡🫡 :
kama unaamini MUNGU atamponya pakome gonga like hapa
2026-06-30 22:00:52
6
0790844366 :
pacome
2026-06-30 21:19:11
1
Loy :
Get well soon pacome🙏🏾🙏🏾
2026-06-30 22:28:17
1
emiliano tense :
this is football people daah 💔💔ni mbayaaa
2026-06-30 20:32:05
1
savic masudi :
pole sn
2026-06-30 22:17:25
0
missAngel :
get well soon professor😭
2026-06-30 20:17:37
1
𝐊𝐢𝐧𝐠 🤴 𝐏𝐞𝐭𝐞𝐫 🦂 :
Ajali mbaya sana Mungu amponye pakome tuache ushabiki jaman
2026-06-30 20:27:06
116
ISACKA WILSON🤓 :
daaaah mungu amusaidie sana pacome
2026-06-30 20:22:53
5
SESKO MAN UNT 197🇹🇿 :
Mungu ampe afia njema
2026-06-30 19:56:44
33
lynne :
Mungu atafanya wepesi
2026-06-30 20:57:20
10
Watunduma :
daaaaaha mungu amsaindie
2026-06-30 20:17:50
11
Irene kafem :
Yan Leo ubingwa hauna furaha Aseee dh🙌
2026-06-30 20:29:49
31
MRS,SINGLE :
tunampenda naimani juu yake Mungu atamponya🙏
2026-06-30 20:27:34
11
To see more videos from user @nyebowsa_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.