@innergames_: ULIMWENGU una namna nyingi za kuwasiliana na wewe. Si kila wakati Ulimwengu unazungumza lugha unayo elewa... Si kila HAPANA unayo ukutana nayo ni negative... kuna hapana zinazo kuja kwako ili kukuboresha ama kukuza sehemu ya fikra, hisia, mwili, roho, ama kifedha n.k. Muhimu ni wewe kuwa kwenye mkao wa kujifunza kusikiliza na kuelewa ulimwengu unapo zungumza na wewe. ---------------------------- #fyp #innergames #coachbe #thebecast #mindsetcoach

INNER GAMES
INNER GAMES
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 19:42:30 GMT
10128
835
35
34

Music

Download

Comments

jaffngambona
jaff :
thankyou
2026-07-02 04:37:03
0
kisamwamunyange
KissaRahabu :
Asante🥰
2026-07-02 07:54:11
0
onesmokanyanka
onesmo kanyanka :
good dadaaa,well sayed
2026-07-07 06:03:11
1
christopher.ngony61
Christopher Ngonyani :
hakuna ambaye siyo levo yako na kukataliwa pia siyo kosa
2026-07-17 14:01:12
0
user7577409443249
ibra :
Hakika dada angu.
2026-07-02 09:20:20
0
uzuri.collection
Uzuri Collection :
na ndio siku utakapoanza kuishi😊
2026-07-07 17:26:47
0
tarimofrank
Tarimo Franck ph :
nilikumiss
2026-07-07 18:03:51
0
user12530736050021
Jackson N.Y. usa :
oyaa binadamu hakuna levo wote futi sita kwenda chini hatuskiliz ulimwengu tunaskiliza Mungu tu sio kelele nyingne
2026-07-16 00:56:52
0
fact1904
fact :
sawa
2026-07-04 07:24:45
0
user3538814881044
suleiman :
ujumbe umefika
2026-07-05 22:10:12
0
stanleyomary
stanleyomary :
aisee nmependa hayo meno
2026-07-10 19:21:27
0
user3074037820654
[email protected] :
Asante.mwl.
2026-07-01 11:50:46
0
obbymsangi
obbymsangi :
Much love Coach.🫡🫡
2026-07-01 04:52:42
1
user6249757738859
Justine :
walio elewa wameelewa🙏
2026-07-09 17:22:18
0
fettymmoja
Sweet love :
daaah
2026-07-05 20:12:27
0
victorlyimo25
mr :
unatakiwa ujue unaongea na wanaume au wanawake hapa,naujue Duni na ulimwengu kipi kipo ndani ya mwenzie(kipi kina beba mwezake) ndiyo uweze kuzungumzia ulimwengu
2026-07-24 04:57:14
0
sofia.rashid5
Sofia Rashid :
ulimwengu ndo mungu nwenyew
2026-07-11 04:38:25
0
swaburuzacharia
swaburuzacharia :
Tutafika taratibu 🙏🤝, Africa ya kesho unaweza kuwa bora zaidi ✅💯
2026-07-10 19:33:15
0
user57369058057063
Rish lyrics :
asante mwalimu
2026-07-01 17:03:06
0
islaerosborn
Islaer js :
anasikilizwa Roho mtakatifu tu
2026-07-01 13:42:00
0
buda.bos0
Buda bos :
6k
2026-07-19 16:31:43
0
user8062727472180
Mr wachu :
umenikosha sana dada angu, yaan nilikuwaga nawachukia sana waliofanikiwa kumbe nilikuwa najichukia mwenyewe aiseee
2026-07-01 18:58:13
0
nkuhisylvesterw
NkuhiWJr.. :
Mahangaiko ni mengi sana..
2026-07-01 13:53:14
0
alnusdonatus
Alnus Donatus :
nimekuona Leo nimekupenda Leo na hakuna kutia huruma Kila kitu ni mtetemo so ninategemea na kiwango.
2026-07-01 19:31:35
0
user6360099278719
user6360099278719 vickymo :
upoteagaaaa
2026-07-01 11:56:31
0
To see more videos from user @innergames_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About