@mtanzania.makini: Maandamano ya amani 7 / 7 / 2026 kwa amani ila tunaikomboa ni kama hatuna hasira kumbe tunalipa kisasi kwa akili na utulivu mkubwa #tanzaniantiktok🇹🇿 #sabasaba #maandamano #fyp #trending
Mungu tuondolee viongozi vibaka walioua watu na kujipa madaraka hatuwatakiiiiiiii
2026-07-04 01:39:08
1
user262528149725 :
TANZANIA TUMECHAGUA AMANI 🇹🇿💪
2026-07-02 12:51:13
1
mamuu kidot :
KATAA MAANDAMANO WATANZANIA TUMECHAGUA AMANI YA NCHI YETU
2026-07-02 10:33:49
2
GODFATHER 💞 :
TAIFA/kifo nitatoka🇹🇿🇹🇿
2026-07-01 14:07:10
4
12345678 :
Mapema asubuhi
2026-07-01 23:07:46
2
Arakeni :
7/7 tuko pamoja
2026-07-02 12:05:09
1
mom criss :
mapema tu ahsubuh
2026-07-02 20:13:26
1
🥰😍 :
7/7 Tunatoka
2026-07-01 21:07:41
1
dutch,p :
coming soon
2026-07-04 13:23:39
0
Angelina Nyole :
tuna toka mapesana
2026-07-05 15:02:29
0
Beeenja :
Amani ni hazina ya taifa ambayo haiwezi kununuliwa kwa fedha wala kufidiwa ikipotea. Kila mmoja wetu ana nafasi ya kuilinda kwa kuheshimu sheria, kudumisha mshikamano na kueneza upendo katika jamii. Tuweke mbele maslahi ya taifa, tuepuke kauli na vitendo vinavyoweza kuvuruga utulivu, na tuendelee kujenga Tanzania yenye umoja, usalama na maendeleo endelevu. Tukidumisha amani leo, tunafungua milango ya kesho iliyo bora kwa watoto wetu na vizazi vijavyo.
2026-07-02 09:43:52
0
Mvamila wa mvamila :
Tuna toka
2026-07-06 18:49:30
0
Harland boy :
👏👏👏👏
2026-07-02 16:14:50
1
user45625719810821 :
🥰🥰🥰
2026-07-02 08:43:22
0
tajiriKwanza :
✌✌✌✌
2026-07-06 12:16:28
0
Fatma Ramadhan :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-03 16:27:12
0
Danielyboniphace Christian :
🔥🔥
2026-07-02 07:54:41
0
doctor*b :
🥰🥰🥰
2026-06-30 20:55:51
0
To see more videos from user @mtanzania.makini, please go to the Tikwm
homepage.