@xochi.interlink: #interlink #itl #itlg

Ghe | InterlinkLabs 🔒
Ghe | InterlinkLabs 🔒
Open In TikTok:
Region: ID
Tuesday 30 June 2026 20:24:36 GMT
227
7
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @xochi.interlink, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Handeni, kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Bara, John Heche, akae pembeni ili kupisha uchunguzi kufuatia uwepo wa tuhuma za ubadhilifu wa fedha zinazomkabili. Akiongea na Waandishi wa Habari Mkoani Tanga lwo July 20,2026, Katibu wa CHADEMA Jimbo la Handeni Mjini na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, Kombo Mohamed Matulu, amesema “Kutokana na sintofahamu zinazoendelea ndani ya Chama chetu ni kubwa na leo tulikuwa tufanye maandamano makubwa sana yanayolenga malalamiko, Wanachama hawana majibu juu ya tuhuma zinazoelekezwa kwenye Chama na Viongozi wetu wakuu wa Chama ambao ndio dira ya Chama, tulipanga kuandamana kwasababu tuhuma zipo ila hatujapata majibu hadi sasa” “Kinachonisikitisha Mh. Heche tunamtegemea kama nguzo na yeye tuhuma zote zinamuelekea, sasa kwanini asitujibu au asitupishe pembeni ili tuhuma hizi zichunguzwe, badala yake anaongea na Waandishi na kuwaita hawa Wanachama tunaowategemea anawaita Mambwa, na sisi baada ya hapa tutaitwa Mambwa, sasa hizi sio kauli za Viongozi, tunasikia sikia akina Lema ndio wameibua hizi tuhuma kwenye Kamati Kuu lakini mpaka leo hawajitokezi kusema kuhusu hilo” “Haya ni masikitiko yetu makubwa sana, niombe ofisi ya Katibu Mkuu isichukulie mzaha suala hili kwasababu Chama ni Viongozi, Chama ni Wanachama, Mh. Mnyika tuma Tume ya uchunguzi haraka ili kukinusuru hiki Chama, hii ni Taasisi tusifanye kuwa Chama cha Mtu kwamba yeye ni Mungu Mtu, nakipenda Chama changu lakini Mh. Mnyika kinusuru hiki Chama, tumesikia leo kupitia DW kuna meli yenye bendera ya Tanzania imekamatwa Yemen, ni meli ya mafuta cha ajabu wale Matajiri wa mafuta wenye tuhuma hizi leo wanatuhumiwa kumpa fedha Heche atumie kwa matumizi yake binafsi. #newsupdates

About