mimi sina tatizo namtu kaka kama kunamtu anatatizo na mimi hilo ni tatizo lake
2026-07-01 18:20:12
61
Ariel❤️ :
imagine mama yangu ndio adui yangu wa kwanz uwii NHS kufa😭nani anptia maumv km yngu ykuumizwa n mam embu aje serious tukmbtiane tulie moyo unaum😭
2026-07-14 16:49:55
29
amor shop mauamall :
true but dont focus on them,focus on yourself.
2026-07-01 08:27:20
43
veracity :
Bro umeongea jambo zuri sana,binadamu anakusaidia ila hataki uvuke zaidi ya msaada ule aliyokupatia,ukizidi msaada wake aliyokupatia tabu inaanzia hapo😁😁 alooo
2026-07-02 21:57:00
15
Vortèx :
Tusali sana, Fanya dreams zako ila Mungu awe karibu kila siku
2026-07-01 13:23:24
16
monamikhatib22 :
big thought ,big up
2026-07-02 08:16:08
5
SOUL TAN MASOUD :
haya sasa nishajua watu wanashida na mimi.kisha?nifanyeje sasa?
2026-07-01 06:54:34
7
Ms mauah🇰🇪 🇫🇮🌹💞 :
Ukweli kabisa mimi Yashanipata niliowasaidia sana na kusimama nao ndio walijaribu kunimaliza💔
2026-08-16 08:22:56
5
Henry :
Kutokuwa na shida na watu ndio shida yenyewe
2026-07-21 14:16:58
14
Dizaina 🌹 :
sijawahi kucomenti popote ila kwa hili umeongea point sana 🙏 nimekuelewa