@steven.nyondo: @Said Mataifa first review ni kutoka ARUSHA TOWN, anafaa kuwa mtu wakwanza na muhimu kwasababu ndiyo mtu pekee aliye wakilisha TANZANIA kwenda KENYA katika mashindano ya drift,(EAST AFRICA DRIFT CHAMPIONSHIP) yaliyofanyika kenya 🇰🇪,, SAIDI MATAIFA, ni mshiriki nambali moja kwa DRIFT ARUSHA, pia walio kuwepo chunya drift season one walimuona akifanya unyama na skills za kutosha,, pia ni drifter wakwanza kufanya REVERSE CRAB WALK CAR Africa nzima hakuna aliye wahi kufanya kama yeyee.. NINI MAONI YAKO KWA CHUNYA DRIFT SEASON 2,, #CHUNYADRIFTSEASON_2 #CHUNYADRIFTSEASON_2 #CHUNYADRIFTSEASON_2 @magarimaarufu @CITY EVEN @Yusuph_Nyondo370$ @Amos Nyondo @Aden_Angelo_Tz @laurentnyondo109 @chunyalady1 @Kaka Wa Chokaa10👑 @Turning_Gang @Drivers.and.cars @FORCE FIGHTER 💪 @boosted auto performance
Steven Nyondo
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 21:26:16 GMT
Music
Download
Comments
Hassan Lyombe :
kaka, unatuwakilisha vyema chunya daah!! kuna siku naamin tutakufanyia suplise kwa uwakilishi wako kaka🥰🥰🥰
2026-07-01 04:37:41
4
WALKER🔵 :
So poa🙌♥️♥️
2026-06-30 21:33:13
2
Jon Ten :
100/100
2026-07-01 05:08:46
1
La-Mama :
Mamen🔥🔥
2026-06-30 22:05:29
3
khamissoud68h :
Lipa 20/20
2026-07-01 03:53:15
1
Said Mataifa :
asante kaka🔥🔥💥
2026-06-30 21:32:55
2
STEVE DALAL MGAYA TZ :
God bless
2026-07-01 09:01:02
0
baddy :
ni yeye
2026-07-01 04:54:11
1
Team captain :
umetisha kaka kwa kumpa maua yake kijana🫡🫡
2026-07-01 05:01:28
1
Hamzuu :
Hamna mchele
2026-07-01 09:12:09
0
Pastry450 :
Arusha maeneo gan apa
2026-07-01 09:49:47
0
Evance Goodluck :
Na hiyo ni Mark ii
2026-07-01 11:13:41
0
Christian :
CK Nije niingie umo umo nione Hali ya umo ndani inakuaje maan ni nomaa
2026-06-30 21:32:23
2
Al_Bussaid 32 :
Tunakuja kuchukua ushindiii🙏
2026-07-01 09:11:57
0
MBEYA_FINEST🍃 :
🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-30 22:17:06
1
Young Stan198 :
🔥🔥🔥🔥
2026-07-01 05:23:35
2
To see more videos from user @steven.nyondo, please go to the Tikwm
homepage.