@touti_tech: Umedanganywa iPhone yako mpya sio mpya. #toutitech

Touti Tech
Touti Tech
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 21:48:23 GMT
85312
4045
167
314

Music

Download

Comments

naidy561
Mwana.1 :
sass jmn mim nataka kununua iphone 13 sass nifnyje,
2026-07-03 18:29:52
1
marian.nyisoti
Milly✨🇹🇿🇴🇲 :
vp kuhusu Samsung Hz ultra
2026-08-02 10:15:06
1
neyrose28
NeyRose🌹 :
Nimetoka kununua 16plain new uwii umenishtua 😂😂😂
2026-07-31 09:55:45
3
gee.cute19
Gee Cute :
me nilinunua refurb kabisa maan hata kioo hakikuwa og japokuwa ilikuwa kwenye box
2026-07-01 06:16:04
41
chris_matelephone1_tz
chris Matelephone Tz :
Kuma ww
2026-07-01 06:02:54
7
priankaandbabyanka
Madam baby ❤️ :
15 promax jeee n mpyaaa au ? 😂
2026-07-13 13:44:55
7
khalfan_el.habsi
khalfan_el habsi👑 :
which better , used or refurb?
2026-07-21 18:43:22
1
homequalitycenter
@𝕸𝖗 𝖏.𝖏.𝖇𝖆𝖈𝖐𝖚𝖕⚓️ :
ila makasiriko kwenye ukweli
2026-07-28 14:50:05
0
jamal_muller_jordan_
Jamal Muller vevo :
Kwan tz mpoo nyuma kiasi gani yani watu hawajui haya 😂😂
2026-07-15 17:32:36
0
mimah0757
butterfly 🦋✨ :
Cna hamu na watu wa sim tena wa delivery nilinunua iphone 11 nikijua ni 128 gb kumbe ni 64 yan wauza cm mmh
2026-07-15 04:49:58
2
user8734584132979
Sophia Mmasa :
bora nimejua umenisanua
2026-07-23 17:01:22
3
tinamichomicho
Michomicho💕 :
HII ni kweli kabisa
2026-07-12 16:37:29
1
_mozuu__
Moza :
kwahiyo broo unanishauri ninunue yuzd
2026-07-24 18:10:51
1
mkorea08
Official_Mkorea08 :
Ni Kwer
2026-07-30 06:50:31
1
jafari.maseta
Maseta khan :
Wauza sim wamekuja juu 😂 siri imefichuka 😅
2026-07-19 18:23:50
1
iamcleopatricia
Ms Bee🌹 :
iPhone seller hawatapenda🤣
2026-07-16 15:25:26
1
pablogenuine
Pablo Genuine :
hujui kitu ww
2026-07-05 05:13:54
1
glella55
SsT :
Umesema ukweli 💯
2026-07-03 12:17:25
3
nercha.pochi
Nercha pochi :
ini kweliii me siyo IPhone ni aina nyingine ni mwaka sasa imealibika niliendaa kutengenezaa nikaisubilii apoapoo wakat anafunguwa kwenye story story nikamwambia simu iyo toka ninunuwe sijawai kuifunguwà akasema mbona inaonekana ishafunguliwaa yani siyo malayakwqnzaa kufunguliwaaa nilichokàa
2026-07-15 09:24:37
1
user6529944723590
æ😇 :
utasikia simu ni brand new njoo ujimenyee tunda kumbe refurb simu unainunua iko full 100% bh baada ya wiki tu inashuka 90 kama placenta ya mama
2026-07-08 10:08:25
0
pendohaidary6
Pendohaidary :
Iphone 14 je nataka kununua vip na uwezo wa kupata mpya upo
2026-07-04 17:35:46
2
trayciedee4
TraycieDee4 :
hii ni ukweli
2026-07-03 06:21:28
3
To see more videos from user @touti_tech, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About