@ambitious.boi2: Si aliniahidi atabaki na mimi kwake nipo mikono salama nisiwe na shaka juu yake........ Alisema "HAMID" bila wewe siwezi kuwa mkamilifu si unajua nimetoka kwenye ubavu wako...... Nitaenda popote utapopahitaji wewe mimi ni wako hata tukitaka kwenda kwenye dunia yetu niongoze tu....... Nilijiamini nikasema wewe ndo wangu wa ubavu ila leo siamini kama mapenzi ndo haya.......... Ghafla hata ile michezo ya kitandani auimisi tena huenda kuna mwenzangu amechukua nafasi😥 Wewe ndo ulisema nikupeleke kwa mama ila ukweli nilichelewa kujua kama aunipendi...... Nikisema nimove on huu moyo wangu nitauweka wapi......... Ondoka na moyo wangu basi huenda ukanipunguzia stress........ 😥😥Leo nimeamini waliokufa kisa mapenzi ni matokeo ya kuweka matumaini makubwa kwa waliowapenda....... 🙏🙏 #sadstory #lovestory #fyp

AMBITIOUS BOI
AMBITIOUS BOI
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 21:56:31 GMT
1563
102
1
6

Music

Download

Comments

black.boy5952
Black boy 👽💀 :
🥰🥰🥰
2026-07-01 09:32:29
0
To see more videos from user @ambitious.boi2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About