@neemagracenizigama: ubarikiwe kwenye mwezi mpya wa July #damuyaYesuikufunike #maombiyamwezimpya

neema grace nizigama 🇭🇲
neema grace nizigama 🇭🇲
Open In TikTok:
Region: AU
Wednesday 01 July 2026 02:55:38 GMT
12250
1974
584
240

Music

Download

Comments

neemagracenizigama
neema grace nizigama 🇭🇲 :
hata mimi namshukuru Mungu baba katika jina la Yesu kwa kunipa fursa ya baraka ya kuona huu mwezi wa saba ukawe wa baraka kwetu na familia zetu sote Amen
2026-07-01 08:43:43
7
user2785018178823
🦋 Juliet 💋🦋 :
Mungu asante kwa kunilinda Toka mwezi wa sita mpaka leo ni mwezi wa Saba...naomba ulinzi wako ukawe pamoja nami pamoja na family yangu 🙏🙏
2026-07-01 03:07:39
10
christabelmasind3
Christabel Masinde :
A meen thank Jesus
2026-07-01 08:56:27
3
mohabeagnes
mohabeagnes :
Mungu tunaomba ulinzi na baraka tele.Amen🤲🤲🙏🙏
2026-07-01 07:24:04
7
hhjhjsss.husjdjdx
mamake :
amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen and amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen amen
2026-07-01 09:06:57
0
user8654681481240
mapendo chiussi :
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN, napokea izibaraka yote ya mwezi huuu wasaba katika jina kuuu la yesu kristu AMEN AMEN AMEN.
2026-07-01 03:56:04
4
merymrema
Marry mrema :
Asante mungu kwanilinda kwanzia January mpasas tuko mwezi wasaba mungu nilinde tena kwamiezi iliyo baki damu yayesu inifunike mim pamoja na familia yangu Amen 🙏 🙏
2026-07-01 08:38:25
3
user2121069179096
user2121069179096 :
Ameeen asante Mungu Kwa kumaliza mwezi wa sita salama na Sasa tumeingia mwezi wa Saba Mungu wa mbinguni tunajikabidhi tena mikononi mwako Baba naomba utukumbatie tena katika mbawa zako ukawe mwezi wa mafanikio na Amani tele Ameen
2026-07-01 09:57:44
1
faithnadzuwa
FAITH 💞💞💞💘 :
Ameni unahistahili bwana yesu kuabudhiwa kila siku🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 08:04:51
3
neemamwanaidi.ham
mwana :
Asnte Mungu kwa kuingia mwezi huu Ee Mungu naomba huu mwezi wa 7 unifngulie milango ya baraka na unirejeshee kile ambacho kimechukuliwa Ee Mungu nakuomb unibadilishe na uniongoze unioneshe njia sahihi ya kupita 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 09:49:01
2
user10339752319716r
rdg tshala :
muezi wa Saba uta kuwa muezi wangu wa furah
2026-07-01 10:03:36
1
user41450909825146
lily :
ameeen
2026-07-01 05:36:06
0
divamuchlove6
Devotha🥰🥰 :
Ameeen🙏🙏🙏Asante Mungu kwa nafasi nyingne ya kuuona mwezi mwingne wa saba naomba mwezi huu ukawe wa baraka na neema katika maisha yangu amani ikawe nguzo🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 06:26:14
2
user8133539800019
basemera esti :
amen amen amen amen amen amen zmen amen ♥️♥️♥️🙏🙏🙏🙏
2026-07-01 09:58:01
1
user83478158853728
@johntibasima :
amina
2026-07-01 08:59:10
0
user9926507550713
LINDA Tz :
Amina mama.
2026-07-01 07:48:44
0
jacqueline.maluma
Mrs P❤️🇨🇩 🇹🇿 :
amen and amen 🙏 thank you God 🙏🙏🙏
2026-07-01 11:18:46
0
mariachiswili
Maria Chiswili :
morning
2026-07-01 11:13:35
0
user95662984451794
Françoise :
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙌 na pokea maombi ile katika jina ya yesuuuuuu Christo mungu akubariki sana mujakazi ya mungu
2026-07-01 09:23:55
1
user5614100990147
petie@69🙏 :
Amina 🙏🙏💖 Amina 🙏🙏🙏💖 Amina
2026-07-01 11:28:10
0
alfred.chelsea
freddy fred :
amen 🙌🙏
2026-07-01 11:27:01
0
user7157307706292
Doris :
Amen amen Asante yesu
2026-07-01 11:26:01
0
lucynjeri949
Lucy Njeri :
ameeeen
2026-07-01 11:25:45
0
user8035315345714
user8035315345714 :
thank you my God
2026-07-01 11:25:12
0
violetchiruka
violetchiruka :
Amen, restoration in Jesus name 🙏
2026-07-01 05:28:52
0
To see more videos from user @neemagracenizigama, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About